Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

17264702_718775568304844_5261692279740083297_n.jpg
17190714_1392690060794972_5029664959228244805_n.jpg

17203022_1392690067461638_1167658439358951614_n.jpg
Ila le mbululaz uliabika siku yenu ile ya wanawake ukatoa pongez kumbe mzee mwenyewe hayupo bongo. Ndipo nilipojua mzee unajipendekeza sana
 
17264702_718775568304844_5261692279740083297_n.jpg


- Kubali mmekosea na gazeti lenu maana RC leo alikuwa hapo anafungua rasmi barabara iliyochangiwa na wadau wa bandari. poleni sana

le Mutuz
[emoji13] [emoji13] Ngoja upate dozi yako huku huwez kumblock mtu akikuambia ukweli ww le kilaza akili ndogoz zee kuubwa huna cha msingi wala sekondari
 
17264702_718775568304844_5261692279740083297_n.jpg


- Kubali mmekosea na gazeti lenu maana RC leo alikuwa hapo anafungua rasmi barabara iliyochangiwa na wadau wa bandari. poleni sana

le Mutuz
RC asiye kuwa na shule kichwani ni bure!!
Dar shule zilipata ZERO haongelei kumbe nae ni failure!!

Karne ya 21 hii hata mapadri wana Bachelor na PhD ili kuendana na kasi ya waumini.
Leo utuletee RC bingwa wa kufeli. Bingwa wa kufoji . Bingwa wa shortcuts. Std 7 duuh!!

Kawaida ya waliofeli shule hujitutumua na kujidai wao ni bora kuliko walio faulu ili hali huwa hawana tu sehemu ya kujishikiza tofauti na hiyo.
 
Karne ya 21 hii hata mapadri wana Bachelor na PhD ili kuendana na kasi ya waumini.
Leo utuletee RC bingwa wa kufeli. Bingwa wa kufoji . Bingwa wa shortcuts. Std 7 duuh!!
Hii meseji aione Mbowe, kwanini na yeye hataki tujue Elimu yake
 
Wow!

Good one there ma man!

Ila na TBC nao inabidi watuombe radhi Watanzania kwa kututangazia uongo kuhusu rais Trump.

wameajiriwa kumwandama Makonda na kumlinda mwenyekiti , halafu biashara ikiyumba wanasema uchumi Ni mbaya
 
Mwanaidi Kamese yuko tayari kutoa ushahidi, anamfahamu Daudi Bashite aliyefeli darasa la nne Shule ya Msingi Kolomije na kwenda kuendelea na darasa la tano Mwanza.
Anauza papuchi yake tsh ngapi? Coz anaweza kuwa anasumbuliwa tu na genyez..
 
Media nyingi za Tz sio Trusted kwa kweli, wengi hawafanyi uchunguzi wa kina.
 
Mtu kama wewe kuzaliwa kwenye familia ya mzee mwenye heshima kama Malecela ni mkosi!! Ni kweli kila familia ina Black sheep ila wewe ni zaidi. Mambo yako kuanzia IG ni utoto tu leo naona huko insta unapata comment chache umekuja kujaribu kwa GT. Juzi ulipost huyu mwizi wa cheti ametunukiwa PhD fasta ukafuta,uliomba msamaha? ukarudia kupost mwizi wa cheti atakuwa mgeni rasmi kwenye sikuku ya wanawake hakuoanekana je uliomba msamaha? Mtu kaenda south hata hujui kama kaenda ikiwa na maana hata hakukuaga kwa kuwa kwake hauna maana lakini bila kujua anakudharau bado umebaki kujikomba kama kenge na maji!!!Juzi TBC ilitoa habari ya mkuu wa nchi kusifiwa na Trump kwa kuwa na wewe una akili ya piriton ukaiparamia kama ****!!! Je uliwaambia waombe samahani? Unasema umeishi US ila nadhani huko US ulikuwa unabeba mabox umri ukiwa mdogo so ulipata hitilafu ya ubongo, huwezi kuishi nje ushindwe kuverify source ya habari kama ni credible au la!!!! Malecela hana mtoto wa aina yako kabisa wewe tafuta baba yako!!!! Haiwezekani mtu una miaka karibu 60 mambo yako ni utoto utoto tu, post IG ni picha za kimeza kimoja cha ofisi kwenye chumba kimoja kama choo, mara kitanda cha guest, mara kutupia picha ulizopiga na mastaa, mara kusifia huyu mara yule.No way naweza kubali wewe ni mbegu ya malecela kabisa, Dr mwele lazima angeshakupelekaa kwa madr bingwa wafumue kichwa waangalie, Kama hata kuna brain kidogo. Na kweli wangekuta shimo tu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom