Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,662
- 27,112
Tunaomba radhi kwa Mkuu wa Mkoa kubadili gia angani na kurudi nchini!- Ok ukimaliza ombeni radhi kwa kuandika udaku!!
le Mutuz
Haya weka vyeti,hata wewe nasikia ulibashite u know
Tunaomba radhi kwa Mkuu wa Mkoa kubadili gia angani na kurudi nchini!- Ok ukimaliza ombeni radhi kwa kuandika udaku!!
le Mutuz
Upambe mbaya sana cha msingi vyeti vionyeshwe ili mkweli na mwongo ajulikane so kama ni close friend mwambie aweke vyeti mezani
Kama kweli wewe ni close friend mwambie akanushe na aweke vyeti mezani mbona wenzake wengi walituumiwa wakaonyesha vyeti anaogopa non sio kuja na mapicha mengi humu hayana faida yoyote![]()
- Kubali mmekosea na gazeti lenu maana RC leo alikuwa hapo anafungua rasmi barabara iliyochangiwa na wadau wa bandari. poleni sana
le Mutuz
Kwa nini mnamtukana mtoa mada na kuacha kujadili hoja aliyoileta kwa njia ya picha ambayo inajieleza vya kutosha kabisa?
TBC ni kanisa na Tanzania Daima ni chombo cha habari bila shaka.- sasa TBC na Tanzania Daima wanahusiana kivipi?
le Mutuz
wewe mwenyewe mbona umejadili suala la taarifa za uongo kuhusu Donald Trump na TBC kwenye mada inayohusu tuhuma kwa Tanzania Daima kuhusiana na Paul Makonda?
Kweli mkuu Pascal kawa popo anakataa kutaga anakimbilia kuzaaNa Wewe leo ni wa kuyasema haya Mkuu? angalia Mkuu utawafanya Watu waamue kufukua makaburi yako. Wewe mwenyewe wakati ukitangaza na hata ukiandika una uhakika hukuwahi kuongeza chumvi au kupotosha? Uzuri ni kwamba humu JF Watu wengine tunajuana kindakindaki hivyo sometimes tujitahidi kuwa makini na tuache kuwa Wanafiki wa kutukuka.
Makonda ataomba radhi lini kwa kuwachafulia watu heshima zao ?TBC wataomba lini radhi?
GSM wameahidi kumpeleka Lemutuz India kwa ajili ya matibabu ya fangasi sugu iliyotapakaa hadi kwenye ubongo wake.lemuz ni houseboy wa jamaa nini?kwani likizo haikatishwi kubwa jinga