Tanzania Daima hawanabudi kuomba radhi ila wamueleze ukweli aweke vyeti ili kuondoa hizi rapsha rapshaWadau, amani iwe kwenu. kutoka Dodoma. Nashukuru mkutano ulienda vema na waliokutwa yamewakuta yaliyowakuta. Tunasonga mbele. Wale wavizia mizoga endeleeni kuokota maana safari hii imekuwa mingi sana.
Nianze kwa kuonesha masikitiko makubwa sana kwa Gazeti la Tanzania Daima, linalomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE. Hili gazeti kwa kweli limepoteza hadhi ya kusomwa na Watanzania kutokana na kuripoti habari za uongo na uzushi. Hivi karibuni, gazeti hili lilituambia kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoweka Dar es Salaam na kukimbilia Afrika ya Kusini ambako atakaa kwa zaidi ya miezi miwili. Hata hivyo, kabla hata ya wiki moja, Makonda huyooo Dar na sasa anapiga kazi.
Kinachonisikitisha zaidi ni ukimya wa Mmiliki wa gazeti hilo, Freeman Mbowe. Mbowe amekuwa mkimya mnoooo. Ukimya huu unatoa ishara kuwa habari ile ni maelekezo kutoka kwake ili kukoleza mapambano yaliyowashwa moto na Josephat Gwajima kutokana na kutajwa kwao kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya
.. kuna habari ulileta jf haikuwahi kutokea..gazeti na wewe ngoma drooWadau, amani iwe kwenu. kutoka Dodoma. Nashukuru mkutano ulienda vema na waliokutwa yamewakuta yaliyowakuta. Tunasonga mbele. Wale wavizia mizoga endeleeni kuokota maana safari hii imekuwa mingi sana.
Nianze kwa kuonesha masikitiko makubwa sana kwa Gazeti la Tanzania Daima, linalomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE. Hili gazeti kwa kweli limepoteza hadhi ya kusomwa na Watanzania kutokana na kuripoti habari za uongo na uzushi. Hivi karibuni, gazeti hili lilituambia kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoweka Dar es Salaam na kukimbilia Afrika ya Kusini ambako atakaa kwa zaidi ya miezi miwili. Hata hivyo, kabla hata ya wiki moja, Makonda huyooo Dar na sasa anapiga kazi.
Kinachonisikitisha zaidi ni ukimya wa Mmiliki wa gazeti hilo, Freeman Mbowe. Mbowe amekuwa mkimya mnoooo. Ukimya huu unatoa ishara kuwa habari ile ni maelekezo kutoka kwake ili kukoleza mapambano yaliyowashwa moto na Josephat Gwajima kutokana na kutajwa kwao kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya
Waambie tbc kwanza wawaombe radhi watanzania kwa kutangaza habari za kubumba yaani wanatumia kodi zetu kwa habari za kubumba?Wadau, amani iwe kwenu. kutoka Dodoma. Nashukuru mkutano ulienda vema na waliokutwa yamewakuta yaliyowakuta. Tunasonga mbele. Wale wavizia mizoga endeleeni kuokota maana safari hii imekuwa mingi sana.
Nianze kwa kuonesha masikitiko makubwa sana kwa Gazeti la Tanzania Daima, linalomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE. Hili gazeti kwa kweli limepoteza hadhi ya kusomwa na Watanzania kutokana na kuripoti habari za uongo na uzushi. Hivi karibuni, gazeti hili lilituambia kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoweka Dar es Salaam na kukimbilia Afrika ya Kusini ambako atakaa kwa zaidi ya miezi miwili. Hata hivyo, kabla hata ya wiki moja, Makonda huyooo Dar na sasa anapiga kazi.
Kinachonisikitisha zaidi ni ukimya wa Mmiliki wa gazeti hilo, Freeman Mbowe. Mbowe amekuwa mkimya mnoooo. Ukimya huu unatoa ishara kuwa habari ile ni maelekezo kutoka kwake ili kukoleza mapambano yaliyowashwa moto na Josephat Gwajima kutokana na kutajwa kwao kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya
Tbc ndio inatia kinyaaTanzania Daima wanatia huruma aiseeeee!
Wanataka kufifisha moto wa aibu ya tbcNaona mnaazisha thread na kujijibu
Tbc na Trump wapi na wapi?Naona inakuuma sana aiseeeee!
Tbc wanajua kitu gani kwa Trump?Wakati mwingine Mbowe wala hajui nini kinaendelea. Wengine wanajipendekeza tu kwa kudandia migogoro isiyowahusu
Ebu tuwekee clip ya Trump kumsifia magufuuliSwali jingine, amekaa miezi miwili ama hajakaa? Maana kuna wengine wametuambia kuwa wamemuona akiwa amefuatana na wamiliki wa GSM Mall wakaenda mpaka Marekani
Tanzania Daima wanatia huruma aiseeeee!
Lizabon kati ya watu ambao akili yao inawaacha we unaongoza ndugu kwani akina machali hawakuwa upinzani mbona wamepokelewa na Chama cha dikteta uchwara acha upuuziWadau, amani iwe kwenu. kutoka Dodoma. Nashukuru mkutano ulienda vema na waliokutwa yamewakuta yaliyowakuta. Tunasonga mbele. Wale wavizia mizoga endeleeni kuokota maana safari hii imekuwa mingi sana.
Nianze kwa kuonesha masikitiko makubwa sana kwa Gazeti la Tanzania Daima, linalomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE. Hili gazeti kwa kweli limepoteza hadhi ya kusomwa na Watanzania kutokana na kuripoti habari za uongo na uzushi. Hivi karibuni, gazeti hili lilituambia kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoweka Dar es Salaam na kukimbilia Afrika ya Kusini ambako atakaa kwa zaidi ya miezi miwili. Hata hivyo, kabla hata ya wiki moja, Makonda huyooo Dar na sasa anapiga kazi.
Kinachonisikitisha zaidi ni ukimya wa Mmiliki wa gazeti hilo, Freeman Mbowe. Mbowe amekuwa mkimya mnoooo. Ukimya huu unatoa ishara kuwa habari ile ni maelekezo kutoka kwake ili kukoleza mapambano yaliyowashwa moto na Josephat Gwajima kutokana na kutajwa kwao kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya
Mwambie cheti lazima akitoe maana tukihararisha haya kuna siku hata wewe utaibiwa cheti. Mwaka huu atalia sana lakini hatumwachiiSafi kakaangu mkuu wa mkoa piga kazi.....