GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Afu hao watendaji waliomzunguuka kama wanamzomea vile
...ubongo ni lazima utakuwa mdogooo kama wa panya vile na hivyo kuwa na akili kisoda..Ukiwa na mwili.mkubwa(bongee) unakosa nini
Mkuu, nimekuwa najiuliza ni vipi labda maeneo ambayo tangia enzi za mkoloni hadi Mwalimu Nyerere yalitengwa kama strategic public areas baadae yamemegwa na kupewa watu binafsi kwa matumizi ya ovyo ovyo, mfano maeneo ya wazi ya bandari, reli na hata taasisi nyeti za elimu.Ukiangalia Picha unajua sio yule Bashite mwenyw nyodo na kujiini kupitiliza
HaelewiLikizo huwa zinakatishwa
Tanzania tuna matatizo zaidi ya tunavyodhani!Wow!
Good one there ma man!
Ila na TBC nao inabidi watuombe radhi Watanzania kwa kututangazia uongo kuhusu rais Trump.
Gazeti la CDM la kusambazia UNAFIKI !
Mkuu, nimekuwa najiuliza ni vipi labda maeneo ambayo tangia enzi za mkoloni hadi Mwalimu Nyerere yalitengwa kama strategic public areas baadae yamemegwa na kupewa watu binafsi kwa matumizi ya ovyo ovyo, mfano maeneo ya wazi ya bandari, reli na hata taasisi nyeti za elimu.
Sasa ndio naanza kuprove nilichokidhania tangu mapema ....kuamini kuwa vyeti na elimu sio muhimu bali 'utendaji', ndio vimesababisha haya yote. Kibaya zaidi ni kukuta kuna watu bado wanatetea haya!
Mwambie alete vyeti. Hata cha darasa la saba hana.
Kwani hawezi kukatisha likizo na kurudi kazini??
- Kubali mmekosea na gazeti lenu maana RC leo alikuwa hapo anafungua rasmi barabara iliyochangiwa na wadau wa bandari. poleni sana
le Mutuz
kama TBC na pongezi feki toka kwa TRUMP.Kigazeti cha kukurupuka
Kakatiza ghafla kuepuka maneno---hukumbuki lile katazo la mkuu safari za nje?Kwani una sheria inayokataza mtu kukatiza likizo.!?
Mimi binafsi nishakatiz likizo zangu mara nyingi.
Kwani hawezi kukatisha likizo na kurudi kazini??
Wee unajua sana mambo ya Daudi Albert Bashite.. Unalala nae chumba kimoja??
Rudi IG kawadanganye wale wapuuzi wanakushangilia tu.
Hopeless kabisa.