Kwa hakika Yanga Imeonewa kwa ukubwa sana japo mimi ni Simba ila ukweli usemwe kuwa lile ni goli

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
11,622
Reaction score
26,005
Kama umetazama Mpira utagundua Lile lilikuwa ni Goli safi walilofunga yanga lakini Refa Na VAR ya kizushi imekataa.

Naibu waziri wa michezo kasema Mhe Hamisi Mwinjuma au Mwanafalsafa kasema kuwa hilo watalifanyia kazi.

Screenshot_20240406_004636_X.jpg

Sasa Nakukaribisha na wewe Uangalia Kweli hili sio goli?

Kama umetazama Mpira utagundua Lile lilikuwa ni Goli safi walilofunga yanga lakini Refa Na VAR ya kizushi imekataa.

Naibu waziri wa michezo kasema Mhe Hamisi Mwinjuma au Mwanafalsafa kasema kuwa hilo watalifanyia kazi.

View attachment 2955081

Sasa Nakukaribisha na wewe Uangalia Kweli hili sio goli?

View attachment 2955083
Namuunga mkono waziri ingawa haibadilishi matokeo ila historia itabaki ikitukumbusha ukweli.
By the way, mpira ni mchezo wa makosa, mkikosea mmezama akikosea mwamuzi kuna upande utafaidika
 
Mimi ni yanga lakini pale hamna goli na hatujaonewa
Bado ni mkanganyiko usio na muafaka maana wote tunatumia video clip hizo hizo ila huyu anaona vile na huyu anaona hivi.

Mbaya zaidi VAR hata hawajazoom na sisi tuone, wamediscus chemba uko wakapitisha maamuzi.

Kwa hizi video camera iko mbali, na ukizoom hupati ile clear image kama ambavyo wangezoom wao.
 
Na camera ya karibu ilikuw
1000090776.jpg
 
Back
Top Bottom