DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Nipe sababu mkuu Mpira umevuka Goal line kabisaMimi ni yanga lakini pale hamna goli na hatujaonewa
Mpira haujavuka mstari kwa 100% inatakiwa uvuke woteNipe sababu mkuu Mpira umevuka Goal line kabisa
Wewe ni yanga au wewe ni mkewangu?Mimi ni yanga lakini pale hamna goli na hatujaonewa
Namuunga mkono waziri ingawa haibadilishi matokeo ila historia itabaki ikitukumbusha ukweli.Kama umetazama Mpira utagundua Lile lilikuwa ni Goli safi walilofunga yanga lakini Refa Na VAR ya kizushi imekataa.
Naibu waziri wa michezo kasema Mhe Hamisi Mwinjuma au Mwanafalsafa kasema kuwa hilo watalifanyia kazi.
View attachment 2955081
Sasa Nakukaribisha na wewe Uangalia Kweli hili sio goli?
View attachment 2955083
Angalia hiiKama umetazama Mpira utagundua Lile lilikuwa ni Goli safi walilofunga yanga lakini Refa Na VAR ya kizushi imekataa.
Naibu waziri wa michezo kasema Mhe Hamisi Mwinjuma au Mwanafalsafa kasema kuwa hilo watalifanyia kazi.
View attachment 2955081
Sasa Nakukaribisha na wewe Uangalia Kweli hili sio goli?
View attachment 2955083
Bado ni mkanganyiko usio na muafaka maana wote tunatumia video clip hizo hizo ila huyu anaona vile na huyu anaona hivi.Mimi ni yanga lakini pale hamna goli na hatujaonewa
Bado ni mkanganyiko usio na muafaka maana wote tunatumia video clip hizo hizo ila huyu anaona vile na huyu anaona hivi.
Mbaya zaidi VAR hata hawajazoom na sisi tuone, wamediscus chemba uko wakapitisha maamuzi.
Kwa hizi video camera iko mbali, na ukizoom hupati ile clear image kama ambavyo wangezoom wao.
Nini hiki??
Na camera ya karibu ilikuwBado ni mkanganyiko usio na muafaka maana wote tunatumia video clip hizo hizo ila huyu anaona vile na huyu anaona hivi.
Mbaya zaidi VAR hata hawajazoom na sisi tuone, wamediscus chemba uko wakapitisha maamuzi.
Kwa hizi video camera iko mbali, na ukizoom hupati ile clear image kama ambavyo wangezoom wao.
TUMEONEWA FOOTBALL CLUBKama umetazama Mpira utagundua Lile lilikuwa ni Goli safi walilofunga yanga lakini Refa Na VAR ya kizushi imekataa.