Hapo kamera sahihi ni ambayo iliyokuwa kwenye mstari tu, hizo zingine zote haziwezi kutuondolea utata huuNa camera ya karibu ilikuwView attachment 2955169
Naona ndugu wanajisahaulisha goal line technology😃😃Mpira haujavuka mstari kwa 100% inatakiwa uvuke wote
Umevuka sema umedunda na ukarudiMpira haujavuka mstari kwa 100% inatakiwa uvuke wote
🤣🤣🤣Hakuna cha kuonewa,Malengo yao yalikua ni makundi kwisha,CAF wanaangalia na malengo yako.
Tunaomba hiyo sheria au kanuni toka CAF inayosema hivyo.Mpira haujavuka mstari kwa 100% inatakiwa uvuke wote
Tunarudi nyumbani 🤣🤣
View attachment 2955095
Kanuni za FIFATunaomba hiyo sheria au kanuni toka CAF inayosema hivyo.