Doh aisee angeanza kwanza kupinga neo colonial project inayo letwe na wao wenyewe alafu ndio angekuja sasa kuzungumzia hicho anacho kiita internal colonialism.Amwage damu na hao jeshi lake la akiba anaenda the Hague View attachment 1558757
Kizuri kwamba umejiweka wazi kuwa wewe ni mshabiki lia lia wa chadema na Kama ni mshabiki lia lia maana yake kwamba huwezi ukawa na uwanja mpana wa kifikira hata Mara moja kwasababu ushabiki lazima tu utakuvuta uegemee upande mmoja wa kule unakoshabikia.Kwa taarifa yako sio Magufuli wala Membe hakuna mwenye mvuto, wote wanategemea nguvu ya vyombo vya dola. Hata Lowassa angekosea ile 2015 aende chama kingine nje ya cdm, angekuwa kama Membe hivi sasa. Zito alikuwa anang'ang'ania kuungana na cdm maana anajua fika kwa huku bara, cdm ndio chama chenye wafuasi wa upinzani wa kweli. Bahati nzuri wanachama na wafuasi wa Cdm tulisema hatutaki tena taka ngumu toka ccm.
Halafu acha upotoshaji usio na tija yoyote, ccm haina wanachama 15m, kama ina wanachama wa kweli hawavuki milioni 3. Nguvu za vyombo vya dola pekee na tume isiyo huru ya uchaguzi, ndio huficha ukweli huu kuwa hadharani. Kama ccm ingekuwa na wanachama wangalau milioni tano tu hai, isingekuwa inatagemea tume ya uchaguzi kuwapitisha bila kupingwa. Cdm sidhani kama ina wanachama 1.5m, lakini ndio chama chenye wafuasi wengi hasa vijana, ila ni wasio na kadi, mfano halisi ni mimi mwenyewe. Mimi sio mwanachama wa Cdm, lakini ni shabiki wa kutupwa wa Cdm, na watu wa aina yetu ni wengi sana. Hivyo mtu yoyote akiwa ccm atategemea mbeleko ya vyombo vya dola, na akitoka asipoelekea cdm automatically anapoteza mvuto.
Kizuri kwamba umejiweka wazi kuwa wewe ni mshabiki lia lia wa chadema na Kama ni mshabiki lia lia maana yake kwamba huwezi ukawa na uwanja mpana wa kifikira hata Mara moja kwasababu ushabiki lazima tu utakuvuta uegemee upande mmoja wa kule unakoshabikia.
Yaani kwa maneno mengine wewe ni mmoja wa ile timu ya kusifu na kuabudu kila kitu kinachotoka chadema. Huna utofauti wowote na watu Kama BIA YETU na USSR na wengine ambao ni prays team ya ccm tofuti yako na hao ni vyama tu Ila tabia ni zile zile.
Membe angojee uchaguzi wa 2025? Wakati huo atakuwa na miaka 70+, kwa umri huo atafanya nini?
Mhe. Kikwete alikuwa sahihi kukata jina la Membe 2015 kuwa mgombea urais kupitia CCM kwa kweli hana ushawishi wala mvuto wowote kwa watanzania, Kama kikwete angefanya kosa la kumpitisha huyu mtu 2015 Kisha apambane na Lowasa leo tungekuwa tunazungumza Lugha nyingine kabisa kwenye siasa za Tanzania.
Viongozi wa CCM wamekuwa wajanja sana hata uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020 walipoona ameanza chokochoko wakamtimua mapema ili asiharibu mipango ya uchaguzi kumbe waliona mbali Bernad Membe hana ushawishi hata kidogo wa kuwa kwenye nafasi kubwa Kama ya urais.
Hana ushawishi ndani ya chama wala nje ya CCM, kwa kifupi watanzania wamempuuza huyu mtu.
Kiuhalisia ukiacha mtaji mkubwa wa wanachama walio nao CCM zaidi ya mil 15 lakini ukweli ni kwamba mgombea urais anapaswa kuwa na mvuto na kukubalika na hata watu wa vyama vingine na wasio na vyama jambo ambalo Magufuli kwa asilimia kubwa analo japo wengi hawataki kutamka wazi hilo.
Sasa kwa Membe yeye hana vyote viwili kwa pamoja. Najiuliza tu hii amsha amsha ya Tundu Lissu ndio angekutana na mtu dhaifu Kama Membe ccm wangeangukia pua mapema Sana.
Mhe. Zitto umekosea umechukua garasa umeshindwa kufikia akili ya Mbowe 2015 hata kwa 2%.
Niliwaambia haya yote mapema kabisa. Picha linaendelea . . Mtakubali tuKama kikwete angefanya kosa la kumpitisha huyu mtu 2015 Kisha apambane na Lowasa leo tungekuwa tunazungumza Lugha nyingine kabisa kwenye siasa za Tanzania.
Mwanamama ? Kama nani ? CHADEMA hawakuwa na candidate zaidi ya Tundu Lissu. Kubali au kataa huo ndiyo ukweliMbowe kiukweli 2015 alicheza kwa hakili sana! Hata uchaguzi huu nibola wangemuacha mbowe agombee au wa wangempa mwanamama mmojawapo akagombea kuliko tundu lisu. Nadhani walipuuza hoja za mbowe
Mhe. Kikwete alikuwa sahihi kukata jina la Membe 2015 kuwa mgombea urais kupitia CCM kwa kweli hana ushawishi wala mvuto wowote kwa watanzania, Kama kikwete angefanya kosa la kumpitisha huyu mtu 2015 Kisha apambane na Lowasa leo tungekuwa tunazungumza Lugha nyingine kabisa kwenye siasa za Tanzania.
Viongozi wa CCM wamekuwa wajanja sana hata uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020 walipoona ameanza chokochoko wakamtimua mapema ili asiharibu mipango ya uchaguzi kumbe waliona mbali Bernad Membe hana ushawishi hata kidogo wa kuwa kwenye nafasi kubwa Kama ya urais.
Hana ushawishi ndani ya chama wala nje ya CCM, kwa kifupi watanzania wamempuuza huyu mtu.
Kiuhalisia ukiacha mtaji mkubwa wa wanachama walio nao CCM zaidi ya mil 15 lakini ukweli ni kwamba mgombea urais anapaswa kuwa na mvuto na kukubalika na hata watu wa vyama vingine na wasio na vyama jambo ambalo Magufuli kwa asilimia kubwa analo japo wengi hawataki kutamka wazi hilo.
Sasa kwa Membe yeye hana vyote viwili kwa pamoja. Najiuliza tu hii amsha amsha ya Tundu Lissu ndio angekutana na mtu dhaifu Kama Membe ccm wangeangukia pua mapema Sana.
Mhe. Zitto umekosea umechukua garasa umeshindwa kufikia akili ya Mbowe 2015 hata kwa 2%.
Amwage damu na hao jeshi lake la akiba anaenda the Hague View attachment 1558757
π π π π π π π π π π π πSasa Magufuli ana ushawishi gani? Magufuli ni mnyampala wa barabara tu ndiyo maana baada ya kupewa uraisi bado anajua yeye ni mnyampala wa barabara tu.
Membe ni bonge la raisi sema alitakiwa ahamie ACT tokea 2016. Anachokifanya sasa in maandalizi ya uchaguzi was 2025 maana kwa uchaguzi wa mwaka huu Magufuli kuachia madaraka labda damu imwagike kwanza.