Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi naamini hivo maana tumeambiwa watalii wameongezekaNafikiri ipo haja ya kuangalia matumizi ya Dola iwe kwa yale mambo ya Muhimu
Tunajua watalii wameongezeka (mbugani na hata wa Kupanda Mlima) na kwa wanaojua tozo za wageni kuingia kwenye Hivyo vivutio na Kulala watanielewa
Hizo hela zikisimamiwa vizuri na kwa Kipaumbele Bila kutengenezewa matumizi yasiyokuwa na ULAZIMA KWA KIPINDI HIKI mbona Nchi itaenda tu vizuri bila inflation
We jamaa huwa na akili ndogo sanaTuwape shillingi , dollar kitu gani bhana [emoji23], wacha hali iwe mbaya zaidi ili tuanze kusindika CNG ya kwetu na kufunga kwenye magari
I like the comments @ Joe kamau