hauko sahihi. India, Uingereza, Ujerumani, Israel n.k. zimewahi kuongozwa na wanamke. Hoja sio jinsia, ni suala la mfumo zaidi. Tutafakari.Ila huyo Mkenya katuua eti Rais wetu katumia hela kwenye fashion na mekapu khaaa
ndio matatizo ya kuwa na Rais Mwanamke-yani Dunia hii Mwanamke hata awe na uwezo bado kukubalika kama Kiongozi ni shughuli,ndio maana USA,China na Russia sidhani kama Mwanamke atakuja kuwa Rais