Kwa hali hii kuna haja ya kukaribia ballot box kweli 2025?

Kwa hali hii kuna haja ya kukaribia ballot box kweli 2025?

Rabbon haya madhehebu unayo ona sio Kanisa.Mungu anayo mabaki, lakini sio haya madhebu.Haya ni product ya mkakati wa Shetani wa "Devide and Rule," ambao umefanikiwa 100% kulisambaratisha Kanisa.Ni vizuri ukasoma 1 Kor.1:10-13;1Kor.3:1-7.Naomba pia usome Yohana Mtakatifu 17:11,21-23.Nanaku-refer kwenye kitabu cha Matendo ya Mitume,hapo ndipo utaona Kanisa la kweli la Kristo,jinsi linavyotakiwa liwe.Tulichonacho sasa ni kiini macho,sio Kanisa,it is a very corrupted system.
Naungana nawe 100%

Ninaposema Kanisa, simaanishi madhehebu haya yanayosajiliwa serikalini.

KANISA ni mtu, amwaminiye Mungu,

KANISA ni mtu Mmoja Mmoja aabudiye katika Kweli na HAKI.

Huu mfumo wa kusajili madhehebu serikalini ndio umeleta mfumo wa waumini vibogoyo waoga kudai HAKI zao,

Utaona dhuluma inaendelea katika JAMII, viongozi wanasimama madhabahuni na kuwambia waumini waheshimu mamlaka.

Katika uhalisia, viongozi wa Kanisa, wanatakiwa Kutoka na kukemea UOVU katika JAMII sio kusubiri waitwe kuombea viongozi wanaoiba kura.

Mfumo ovu Mungu anauondoa mfumo ovu hii Nchi.

Tusubiri.
 
Labda Rabbon nimalizie kwa kuwa frank.Huwezi kuwa katika mfumo huu wa madhebu ukawa sehemu ya Kanisa,itakuwa unajidanya.Get out,ndivyo Mungu anavyosema.
Soma
2Kor.6:17-18;Ufunuo 18:4-5
Mwisho,naomba ukumbuke kwamba njia iendayo mbinguni imesonga nao waionao ni wachache.

Mathayo 7:13-14
13 Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo.
14 Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.
 
Unapiga kura umchague nani,hawa chawa waliopo kwa maslahi yao,only the stupid and fools can do that.
Matatizo au mapungufu huwa hayakimbiwi. Wewe mwenye akili timamu ukikaa pembeni unatoa nafasi kwa wajinga kuharibu zaidi. Nchi nyingi zimeharibika na kuingia kwenye matatizo kwa sababu ya watu wenye busara na uelewa kukaa pembeni kimya hata pale wanapoona mambo hayako sawa. Mara nyingi muda una tabia ya kuwaamulia pale ambapo mlishindwa kuutumia vizuri kuweka mambo sawa. Sasa unaweza kuwaamulia vibaya au vizuri na mifano iko mingi tu. Sasa jiulize lipi jema kati ya kurekebisha sasa au kuusubiri muda ambao hatujui utatuamulia nini.
 
Kitendo Cha wa awamu ya 5 kuweka viongozi wasiochaguliwa madarakani matunda yake ndio haya wanaamini watakuwa madarakani hata kama hawatapigiwa kura na wananchi.matokeo ya kukiuka taratibu za Uchaguzi yatatupeleka maafa katika nchii wananchi uvumilivu ukiwaishia tutajikuta kwenye Hali mbaya hasa hizi Sheria wanazotunga ndio zinazoendelea kukandamiza demokrasia
 
Ni taarifa za kushangaza, za kutisha,za kukera na kuogofya sana.Nimeongea na viongozi wengi wa ngazi zote,za chini,za kati na za juu.Wote wanakubaliana katika jambo moja:wananchi hawasaidiki,kwa hiyo waachwe kama walivyo,wasijaliwe na watawala "wafanye yao."

Hali ilivyo sasa ni kwamba ukijitambulisha na wananchi katika nyanja yeyote ya uongozi uwe wa chini,wa kati au wa juu, kimsingi unaonekana kama mtu asiyejua afanyalo, aliyechanganyikiwa na anayepaswa kudharauliwa.Ndio,hapo ndipo tulipo fika kama nchi.Sasa tunaambiwa wazi, tusiwajali wananchi.

Viongozi wengine ukiongelea kuhusu maslahi ya wananchi, wanakasirika na kufura kabisa,huku wakihoji, "mwananchi ana maslahi na haki gani?"

Wengine tunajiuliza,sasa wao ni viongozi wa nani,na wameteuliwa au kuchaguliwa kwenye nafasi za uongozi, ili iweje hasa,kama wananchi hawana haki, wala maslahi yeyote.Narudia tena, inashangaza, inatisha,inakera na kuogofya sana.

Kwa muda mrefu tumekuwa tukishangaa madudu ya ajabu,na ufisadi wa ajabu unaoendelea chamani na hata Serikalini, bila hatua zozote kuchukuliwa. CAG anatoa ripoti,fedha za serikali zimetumiwa vibaya,hakuna hatua yeyote inayochukuliwa. Halimashauri zinafuja fedha za miradi na za serikali, hakuna hatua za msingi zinazochukuliwa,na sheria zipo.Kila mahali,katika kila sector mambo yanakwenda ndivyo sivyo, wala hakuna anayejali,it is business as usual. Si elimu, si afya, si kilimo, si maji, si nishati, kila mahali ni kama hakuna mwenyewe hivi. Now at last we know kwamba kumbe si bahati mbaya,ni mkakati maalum uliopangwa na kusukika.Wenyewe wamefunguka.

Viongozi wa ngazi zote niliopata nafasi ya kuongea nao, wameniambia slogan hii,"IF YOU CAN'T FIGHT THEM,JOIN THEM." Wakaongeza,"sisi hatuwezi kupigana nao kwa hiyo tumeshawajoin. We are sure you also cannot fight them,so you are welcome."

Let me be frank, nimechoka, mnajua, nimechoka. Naomba niwe frank on this issue.Niwe mwanachama wa CCM and I am unfortunately,au mwanachama wa chama kingine chochote,kuna haja ya kwenda kwenye ballot box kweli come 2025 kwa Hali hii?
I don't think so,I will be so stupid,a loon,crazy and a fool..
Sawa umesikika , lakini wao sio wenye kujua kesho yao au kesho ya Tanzania.
Piga kura isimamie kura yako, kama bunge lingekuwa imara Hata huu ubadhirifu wa halmashauri , mashirika ya umma nk ungepungua sana Kama sio kuisha .
Wapinzani wakiingiza wabunge 200 au 300 mchezo utakuwa umekwisha maana ccm nao wataamka kila upande utakuwa unapambana kuomba upewe kazi na wananchi .
 
Itakuwa siku nzuri ya kuupumzisha mwili na akili nyumbani, siwezi kupoteza mda wangu kwa mambo ya kipumbavu, elewa kuwa sio upumbavu kupiga kura ila kupiga kura hapa TZ ni upumbavu na kupoteza mda.
 
Kitendo Cha wa awamu ya 5 kuweka viongozi wasiochaguliwa madarakani matunda yake ndio haya wanaamini watakuwa madarakani hata kama hawatapigiwa kura na wananchi.matokeo ya kukiuka taratibu za Uchaguzi yatatupeleka maafa katika nchii wananchi uvumilivu ukiwaishia tutajikuta kwenye Hali mbaya hasa hizi Sheria wanazotunga ndio zinazoendelea kukandamiza demokrasia
You must be a stupid fool kma utaamini huo mchezo wa kuiba kura ulianza na Magufuli. Tofauti ni kwamba Magufuli alifanya hilo in a non smart way. Ila mtangulizi wake ndio muasisi wa huo mchezo
 
Sawa umesikika , lakini wao sio wenye kujua kesho yao au kesho ya Tanzania.
Piga kura isimamie kura yako, kama bunge lingekuwa imara Hata huu ubadhirifu wa halmashauri , mashirika ya umma nk ungepungua sana Kama sio kuisha .
Wapinzani wakiingiza wabunge 200 au 300 mchezo utakuwa umekwisha maana ccm nao wataamka kila upande utakuwa unapambana kuomba upewe kazi na wananchi .
Wapinzani nao ni Ndumilakuwili tu wakiingia wataungana na tawala ili kula keki ya taifa pamoja
 
You must be a stupid fool kma utaamini huo mchezo wa kuiba kura ulianza na Magufuli. Tofauti ni kwamba Magufuli alifanya hilo in a non smart way. Ila mtangulizi wake ndio muasisi wa huo mchezo
Mkuu,
Watalaumu utawala wa JPM tu ila tangy 95 kura ziliibiwa sana tu. Ccm haijawahi kushinda bila bao la mkono.
 
Mkuu,
Watalaumu utawala wa JPM tu ila tangy 95 kura ziliibiwa sana tu. Ccm haijawahi kushinda bila bao la mkono.
Ndio maana nasema muasisi ni mtangulizi wa JPM sababu toka 1995 yuko kwenye menu hadi alipopata uprezidaa!
 
Ni taarifa za kushangaza, za kutisha, za kukera na kuogofya sana. Nimeongea na viongozi wengi wa ngazi zote, za chini, za kati na za juu. Wote wanakubaliana katika jambo moja: wananchi hawasaidiki, kwa hiyo waachwe kama walivyo, wasijaliwe na watawala "wafanye yao."

Hali ilivyo sasa ni kwamba ukijitambulisha na wananchi katika nyanja yeyote ya uongozi uwe wa chini, wa kati au wa juu, kimsingi unaonekana kama mtu asiyejua afanyalo, aliyechanganyikiwa na anayepaswa kudharauliwa. Ndio, hapo ndipo tulipo fika kama nchi. Sasa tunaambiwa wazi, tusiwajali wananchi.

Viongozi wengine ukiongelea kuhusu maslahi ya wananchi, wanakasirika na kufura kabisa, huku wakihoji, "mwananchi ana maslahi na haki gani?"

Wengine tunajiuliza, sasa wao ni viongozi wa nani, na wameteuliwa au kuchaguliwa kwenye nafasi za uongozi, ili iweje hasa, kama wananchi hawana haki, wala maslahi yeyote. Narudia tena, inashangaza, inatisha, inakera na kuogofya sana.

Kwa muda mrefu tumekuwa tukishangaa madudu ya ajabu, na ufisadi wa ajabu unaoendelea chamani na hata Serikalini, bila hatua zozote kuchukuliwa. CAG anatoa ripoti, fedha za serikali zimetumiwa vibaya, hakuna hatua yeyote inayochukuliwa. Halimashauri zinafuja fedha za miradi na za serikali, hakuna hatua za msingi zinazochukuliwa, na sheria zipo. Kila mahali, katika kila sector mambo yanakwenda ndivyo sivyo, wala hakuna anayejali, it is business as usual. Si elimu, si afya, si kilimo, si maji, si nishati, kila mahali ni kama hakuna mwenyewe hivi. Now at last we know kwamba kumbe si bahati mbaya, ni mkakati maalum uliopangwa na kusukika. Wenyewe wamefunguka.

Viongozi wa ngazi zote niliopata nafasi ya kuongea nao, wameniambia slogan hii, "IF YOU CAN'T FIGHT THEM, JOIN THEM." Wakaongeza, "sisi hatuwezi kupigana nao kwa hiyo tumeshawajoin. We are sure you also cannot fight them, so you are welcome."

Let me be frank, nimechoka, mnajua, nimechoka. Naomba niwe frank on this issue. Niwe mwanachama wa CCM and I am unfortunately, au mwanachama wa chama kingine chochote, kuna haja ya kwenda kwenye ballot box kweli come 2025 kwa hali hii? I don't think so, I will be so stupid, a loon, crazy and a fool.
Mkuu niliandika uzi mwaka jana kuelezea namna ambavyo Mungu anaifuta CCM kwa kasi kubwa.

Vehicles wa hiyo doom ni hawa viongozi wa leo kuanzia juu hadi chini. Pia nilisema wazi Mungu ameondoa kauli na hekima kwenye vinywa vyao. Hivi unavyowaona kama vampires ni proccess. Kuna wakati watatafunana wazi wazi

Wao waendelee kidukua mawasiliano ya wananchi ili wawashughulikie wenye fikra mbadala. Lakini soon anguko haliko mbali sana
 
Sawa umesikika , lakini wao sio wenye kujua kesho yao au kesho ya Tanzania.
Piga kura isimamie kura yako, kama bunge lingekuwa imara Hata huu ubadhirifu wa halmashauri , mashirika ya umma nk ungepungua sana Kama sio kuisha .
Wapinzani wakiingiza wabunge 200 au 300 mchezo utakuwa umekwisha maana ccm nao wataamka kila upande utakuwa unapambana kuomba upewe kazi na wananchi .
Ni mjinga tu anayeweza ku-by idea ya kupiga kura na kuzisimamia kura wakati mechanisms zote za kuiba kura are in place.Msiwafanye Watanzania mazuzu.
 
Nafasi
Matatizo au mapungufu huwa hayakimbiwi. Wewe mwenye akili timamu ukikaa pembeni unatoa nafasi kwa wajinga kuharibu zaidi. Nchi nyingi zimeharibika na kuingia kwenye matatizo kwa sababu ya watu wenye busara na uelewa kukaa pembeni kimya hata pale wanapoona mambo hayako sawa. Mara nyingi muda una tabia ya kuwaamulia pale ambapo mlishindwa kuutumia vizuri kuweka mambo sawa. Sasa unaweza kuwaamulia vibaya au vizuri na mifano iko mingi tu. Sasa jiulize lipi jema kati ya kurekebisha sasa au kuusubiri muda ambao hatujui utatuamulia nini.
Kwa hali ilivyo,hakuna uwezekano wa the sane kurudisha nchi kwenye mikono ya Watanzania tena.Mauaji ya Comrade Magufuli yameonyesha how powerful the dark forces controlling this country are.I must admit that Tanzanians and humanity in general is fast approaching an extremely dangerous dead end.Don't tell me that I am not supposed to depair,I repeat don't.What I am putting across here is the sad truth,we as Tanzanians and humanity are completely surrounded.Na wale wanaodhani wame-win are cheating themselves,kwa kuwa wanatumiwa tu kama makarai ya zege,and in no time wote fate yetu itakuwa moja:being eliminated.
 
Back
Top Bottom