raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Wanachekesha kweli hao nimewaona sijui massawe aliwapa nnWamechachamaa sana ,wanasema masawe alikuwa mtu wa watu ,kama yeye alitaka azikwe kwake ila mkewe hataki hivyo lazima wamtetea Massawe.
Yaani watu wa nje wanataka kuingilia mazishi duh