Kwa hali hii kuoa au kuolewa ni kazi ngumu

Kwa hali hii kuoa au kuolewa ni kazi ngumu

nyumba mwanamke anataka kuipiga bei hyo so hapo ni kama watu wamestuka wanataka azikwe hapo hapo sababu huwezi kuuza nyumba yenye kaburi la mmiliki wengi huwa hawanunui,

so kwa macho ya haraka huwez elewa
Kwahiyo hiyo ya kukomalia marehemu alisema anataka azikwe hapo ni hujuma kjmpokonya dada nyumba au marehemu alitaka kweli?
 
Ndugu miyeyusho sana akifariki mwanaume. Mke ndio mwenye mali why wanataka kumpangia tena
 
Kijana kataa ndoa huyu mwamba Angekua anaishi na hyu bi dada bila ndoa kesi ingeisha.

Ruge mutahaba.. msiba wake umekwenda vizuri sana na salama salimini... sababu hakufunga ndoa na kina zamaradi.

Kwa mali alizonazo ruge angekuwa amefunga ndoa ingekuwa seke seke kubwa kuanzia msiba mpaka mirathi
 
Back
Top Bottom