Kwa hali hii kwa nini Heche usitete na Mbowe kuna ubaya gani ukachota busara

Mtu anapoteza ela kisa chama 😞😞
 
akienda ndo utakuwa mwisho wake kisiasa
 
NIMELISHAURI JAMBO KAMA HILI KILA SIKU, LAKINI HWA AKINA HECHE, LISU NA LEMA WALIKUWA NA FUNDO KUBWA NA MBOWE WALILOLIFICHA KWA MUDA MREFU.
 
Yaani unataka Mbowe awazuie vijana wake kwenda kumuandalia makao mapya? Siyo rahisi wameshakua fungu la kuifanya kazi hiyo tena chini ya viapo vikali.
 
Akachote busara kwa ajili ya kitu gani?
 
Mbowe alipaswa kutoka hadharani kuulinda chadema kwa kauli zake thabiti sio kukaa kimya
Siku moja abla hajaenda kuchukia fomu aliwaita vijana wake wote pale mikocheni nyumbani kwake na alisikika akisema " siwezi kumuachia huyu muhuni./ LISU chama. Nataka nimuoneshe huyu muhuni"
Ukitaka kujua msimamo wa mbowe sicilia CLIPS ZA yerico Nyerere wakati wa uchaguzi
 
Kilaza ww, mbowe ndo anaichochea g55
 
Mbowe ni mjumbe wa kudumu wa mkutano mkuu, kwanini hashiriki kwenye harakati za chama?
 
Wakati haya yakiendelea.
Hali huko kwa wale wanaovaa grini ni hiyo hapo
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…