Kwa hali hii kwa nini Heche usitete na Mbowe kuna ubaya gani ukachota busara

mbo mengi yanaendelea kwenye chama chenu kama vile kuhama viongozi na wanachama, kukamatwa Tundu Lisu, kuuawa Mdude, kutenguliwa kamati nk je kuna ubaya gani ukienda kuonana na Mwenyekiti Mstaafu Mbowe ukiwa na baadhi ya wazee maarufu kuchota busara yake. Haitakupunguzia kitu chochote.
Ushauri mzuri sana kwa mtu mwenye nia ya kujenga.
Mimi sisemi kwamba wakifanya hivyo watakuwa wanejishusha kwakuwa Mbowe bado ni kaka yao katika siasa.
Uzoefu aliokuwa nao Mbowe kwenye siasa Lisu na Heche hawamfikii hata robo!
Sasa wangemfuata wakamuomba suluhu ( kwa kiarabu inaandikwa الصلح yaani upatanishi ) awasaidie kutumia uzoefu wake kukirudisha chama kwenye msitari wake wala wasingepungukiwa chochote na vyeo vyao vingebaki palepale.
Mbona mama Samia anamtumia mh rais mstaafu Kikwete katika baadhi ya mambo na haimuondolei hadi yake ya kuwa ndie rais wa jamhuri na amiri jeshi mkuu?!
KIBURI CHA TUNDU LISU NDICHO KINACHOIUA CHADEMA sikio halizidi kichwa !
Aliyekutangulia kakutangulia.
Anajua mengi ambayo wewe hujawahi hata kuyafikiria.
 
Mbona kama unaleta mzaha mjuba? Mbowe yupi ni wa kuombwa ushauri!
 
NIMELISHAURI JAMBO KAMA HILI KILA SIKU, LAKINI HWA AKINA HECHE, LISU NA LEMA WALIKUWA NA FUNDO KUBWA NA MBOWE WALILOLIFICHA KWA MUDA MREFU.
Waende wakafanye nini kwa Mbowe? Mbona Mbowe hakuitisha vikao na waliokuwa wanaenda kuunga mkono juhudi?
 
Hakuna kutu
Ushauri mzuri sana kwa mtu mwenye nia ya kujenga.
Mimi sisemi kwamba wakifanya hivyo watakuwa wanejishusha kwakuwa Mbowe bado ni kaka yao katika siasa.
Uzoefu aliokuwa nao Mbowe kwenye siasa Lisu na Heche hawamfikii hata robo!
Sasa wangemfuata wakamuomba suluhu ( kwa kiarabu inaandikwa الصلح yaani upatanishi ) awasaidie kutumia uzoefu wake kukirudisha chama kwenye msitari wake wala wasingepungukiwa chochote na vyeo vyao vingebaki palepale.
Mbona mama Samia anamtumia mh rais mstaafu Kikwete katika baadhi ya mambo na haimuondolei hadi yake ya kuwa ndie rais wa jamhuri na amiri jeshi mkuu?!
KIBURI CHA TUNDU LISU NDICHO KINACHOIUA CHADEMA sikio halizidi kichwa !
Aliyekutangulia kakutangulia.
Anajua mengi ambayo wewe hujawahi hata kuyafikiria.
 
Kwa yaliyotokea kwenye uchaguzi mkuu wa CDM ni dhairi kabisa Mbowe alikuwa ni moja ya watu wanaokwamisha harakati za upinzani.
 
mbo mengi yanaendelea kwenye chama chenu kama vile kuhama viongozi na wanachama, kukamatwa Tundu Lisu, kuuawa Mdude, kutenguliwa kamati nk je kuna ubaya gani ukienda kuonana na Mwenyekiti Mstaafu Mbowe ukiwa na baadhi ya wazee maarufu kuchota busara yake. Haitakupunguzia kitu chochote.
Mbowe ana busara gani zaidi ya kuifanya chadema kuharalisha urahisi wa madili yale ya kificho. Sisi tunataka chadema konki siyo ile ya kutisha na kutaka mkate. Ndo mana wachaga almost wote ndo wanaondoka. Mchaga is always after fursa iwe haramu au nzuri. Nashanga eti kuna wanaowaamini mapadre wa kichaga na kutoa sadaka au yule tapeli eti kuhqni mwacha
 
mbo mengi yanaendelea kwenye chama chenu kama vile kuhama viongozi na wanachama, kukamatwa Tundu Lisu, kuuawa Mdude, kutenguliwa kamati nk je kuna ubaya gani ukienda kuonana na Mwenyekiti Mstaafu Mbowe ukiwa na baadhi ya wazee maarufu kuchota busara yake. Haitakupunguzia kitu chochote.
Kwa nini humshauri akachote busara za Mwenyekiti Samia Suluhu Hassan; unaamua kwa maksudi kabisa mahali pasipokuwa na msaada wowote?
Ushauri mzuri ni kumsihi atumie "lugha ya staha" anapokutana na mungu jike. Sina shaka, naye atarudi akiwa na "busara" kama alizozichota huyo Mbowe!

Unajifunza kuanzisha mada, mkuu 'kondoo'?

Kwa mwendo huu itakuchukua muda mrefu sana kuwa na uzoefu wa kuweka mada zinazo eleweka vizuri kwa wasomaji wako humu JF.
 
Mkuu BlackBold kwa heshima kubwa naomba mleta mada ndugu Mwana kondoo 2025 alete ushahidi wa kuuawa Mdude ili kuondoa sintofahamu mbalimbali ukichukulia Jamii Forums imejijengea heshima kwa habari zenye uhakika na sio vioja na uzushi.
Kama atashindwa kuleta ushahidi naomba uzi wake ufutwe na achukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria zinazotuongoza hapa jamvini.
Au wewe mwenyewe Jipu umlete Mdude_Nyagali akiwa hai tumuone, baada ya hapo Mwana kondoo 2025 atakuwa na hatia ya kusema uwongo
 
Siku moja abla hajaenda kuchukia fomu aliwaita vijana wake wote pale mikocheni nyumbani kwake na alisikika akisema " siwezi kumuachia huyu muhuni./ LISU chama. Nataka nimuoneshe huyu muhuni"
Ukitaka kujua msimamo wa mbowe sicilia CLIPS ZA yerico Nyerere wakati wa uchaguzi
Naamini sinema inayo endelea ya hawa G-55 kila wiki, hitimisho lake linakuja mwisho kwa Mbowe kujitokeza na kueleza wanakoelekea kama kundi.
Subiri kidogo, haitachukuwa muda mwingi kabla habari yao haijapoa na kusahaulika kuwa nao walikuwepo.
 
Sasa naanza kumwelewa Kalamu 2021 tulibishana sana juu ya COVID 19 lakini pia nilikuwa nabisha sana kuhusu misimamo yake juu ya Mbowe.
Muda ni mwalimu mzuri.
 
Ninakukumbuka sana mkuu 'Al Watan', kinachonishangaza hata mimi ni kukuona ulivyo badilika; kumbe ni 'transformation' tu inayokuja na mambo husika kujifunguwa bayana na kueleweka.

Nashukuru sana kwa kumbukumbu hiyo uliyo ielezea hapa.
 
Chama hiki kilikuwa kimejaa mashabiki wa mtu badala ya wafuasi wa itikadi.

Lilikuwa duka la mtu badala ya tasisi ya umma.

Huko nyuma niliwahi kusema wakati natathimini fukuza fukuza ya Chama nikasema.

Chadema hawana emotional intelligence hili pia linajidhihirisha.

Ni muda Sasa wa uongozi mpya kusuka taasisi mpya ya umma yenye malengo thabiti ya kutumikia umma.

Bado hawajachelewa.
 
Ushauri mzuri sana kwa mtu mwenye nia ya kujenga.
Mimi sisemi kwamba wakifanya hivyo watakuwa wanejishusha kwakuwa Mbowe bado ni kaka yao katika siasa.
Uzoefu aliokuwa nao Mbowe kwenye siasa Lisu na Heche hawamfikii hata robo!
Sasa wangemfuata wakamuomba suluhu ( kwa kiarabu inaandikwa الصلح yaani upatanishi ) awasaidie kutumia uzoefu wake kukirudisha chama kwenye msitari wake wala wasingepungukiwa chochote na vyeo vyao vingebaki palepale.
Mbona mama Samia anamtumia mh rais mstaafu Kikwete katika baadhi ya mambo na haimuondolei hadi yake ya kuwa ndie rais wa jamhuri na amiri jeshi mkuu?!
KIBURI CHA TUNDU LISU NDICHO KINACHOIUA CHADEMA sikio halizidi kichwa !
Aliyekutangulia kakutangulia.
Anajua mengi ambayo wewe hujawahi hata kuyafikiria.
Bahati yetu nzuri sisi sote, na wewe ukiwemo, huu ni ushauri tu!
Kwa CHAEMA Mpya na viongozi wake na kwa waTanzania wote wanaotaka mabadiliko chanya, ni ushauri wa hovyo kabisa.
 
Chadema hawana emotional intelligence hili pia linajidhihirisha.

Ni muda Sasa wa uongozi mpya kusuka taasisi mpya ya umma yenye malengo thabiti ya kutumikia umma.
Kazi ya dharura kwanza ikamilike; hayo mengine yatafuata.
"No Reforms, No Election", it is an emergency that needs to be taken care of immediately.

Hilo la "kutumikia umma", liko 'embedded' pia kwenye hiyo dharura, lakini litatakiwa kusisitizwa zaidi baada ya dharura.
 
Mbowe alipaswa kutoka hadharani kuulinda chadema kwa kauli zake thabiti sio kukaa kimya

JamiiForums

Pre GE2025 Ukimya wa Freeman Mbowe Chadema nao ni jibu​

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1 of 2Next Last
Jump to newSubscribe
•••
E

Elias Msuya​

Member​

mbowe-pic.jpg

Katika kitabu cha Marko 4:35-41, Biblia inaelezea tukio la Yesu kutuliza dhoruba iliyotishia kusambaratisha mtumbwi waliokuwa wakisafiria.

Biblia inasema siku hiyo, ilipokaribia jioni, aliwaambia wanafunzi wake, “Tuvuke, twende ng’ambo ya pili.” Wakawaacha wale watu wakaingia katika ile mashua ambamo Yesu alikuwa amekaa. Pia palikuwa na mashua nyingine.

Pakatokea dhoruba kali, mawimbi yakaipiga ile mashua waliyokuwa wakivukia, ikaanza kujaa maji. Yesu alikuwa amelala akiegemea mto sehemu ya nyuma kwenye ile mashua. Wanafunzi wake wakamwamsha, wakamwambia, “Mwalimu, hujali kwamba tuna zama?’ Akaamka, akaukemea ule upepo, akaiambia ile bahari, “Kaa kimya! Tulia!” Ule upepo ukatulia, kukawa shwari.

Ni wazi kwamba mambo si shwari ndani ya Chadema, kwani kuna dhoruba kubwa inakipiga chama hicho tangu ulipomalizika uchaguzi mkuu ndani ya chama hicho, ambao ulimweka madarakani Tundu Lissu kama mwenyekiti na John Heche kama Makamu Mwenyekiti.

Inaonekana aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na kundi lake hawakuyapokea matokeo hayo kwa moyo mkunjufu. Hiyo ni kutokana na kinachoendelea sasa, ambapo watu wa kundi lake sasa wameunda kundi la G55 wakikosoa uongozi uliopo madarakani.

Januari 22, 2025 baada ya uchaguzi mkuu wa chama hicho, Mbowe alihutubia mkutano mkuu, ambapo alisisitiza makundi ya uchaguzi kuvunjwa na uongozi mpya kupoinya majeraha ya uchaguzi.

Baada ya hapo uongozi mpya pamoja na mengine uliunda kamati ya maridhiano iliyoongozwa na baadhi ya wazee wa chama hicho, lengo likiwa ni kupatanisha makundi yaliyokuwa yakisigana wakati wa uchaguzi.

Lakini kinachoendelea sasa ni kinyume, kwani G55 wameibuka wakipinga kila kinachofanywa na uongozi mpya. Wamepinga utekelezaji wa kampeni ya Hakuna Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi.

Soma pia: Waraka wa G55

Licha ya uongozi mpya kuwaita watia nia Makao makuu ya Chadema Mei 3 kujadili mwenendo wa chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu, G55 hawakufika, badala yake waliandika waraka kwa Katibu mkuu wa chama hicho na baadaye wakaitisha mkutano na waandishi wa habari wakipinga kuzuiliwa kugombea.

Wakati huu ambao Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu amekamatwa na kufunguliwa kesi ikiwamo ya uhaini, wakati chama kikiendelea na kampeni ya Hakuna Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi, G55 wano wanaendelea kupambana na uongozi mpya na sasa wanajiondoa Chadema kwa makundi tofauti kila uchwao.

Ieleweke kwamba G55 wamegawanyika katika makundi mawili; kundi la kwanza linatangaza kujitoa Chadema lakini hawasemi wanakwenda wapi. Kundi la pili ni wale wasiojitoa Chadema lakini wanaendelea kuchokoa uongozi uliopo madarakani.

Miongoni mwa waliopo kundi la pili ni pamoja na Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, Lembrus Mchome ambaye amekishitaki chama hicho kwa Msajili wa Vyama vya Siasa akilalamikia uteuzi wa baadhi ya viongozi uliofanywa na Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu na kuridhiwa na kikao cha Baraza Kuu Januari 22.

Mchome anadai kuwa kikao hicho hakikuwa kimetimiza akidi na kwamba baadhi ya waliopiga kura hawakuwa wajumbe halali. Tayari Msajili amesharidhia malalamiko hayo na ametangaza kuwatangua viongozi hao akiwamo Katibu Mkuu, John Mnyika.

Katika kundi hilo, yupo pia Makamu Mwenyekiti mstaafu wa chama hicho upande wa Zanzibar, Said Issa Khamis na wenzake wawili ambao wamekishitaki chama hicho Mahakama Kuu wakidai kuwa hakitendi haki katika mgawanyo wa mali. Hivyo wanaiomba Mahakama isimamishe shughuli za chama hadi kesi hiyo itakaposikilizwa.

Kwa hiyo utaona kundi la kwanza linatangaza kujitoa Chadema na huenda kuna mikakati na ahadi nono huko waendako na kundi la pili linabaki ili kuendelea kuchokonoa uongozi uliopo. Ilimradi wakiache chama hicho kikiwa kimekufa kabisa.

Ukimya wa Mbowe

Ni wazi kwamba chokochoko hizi zote zinafanywa na makada na viongozi wa Chadema waliokuwa wakimuunga mkono Mbowe katika uchaguzi. Kwa kuwa walishindwa uchaguzi, kuna kila daklili kwamba bado wanaumia, hivyo wanaona bora wakose wote.

Tangu uchaguzi wa Chadema ulipokwisha, Mbowe ambaye ni mjumbe wa kamati kuu, hajaonekana kwenye kikao chochote kilichoitishwa na uongozi mpya. Pia hajazungumza lolote kuhusu vurugu zinazoendelea ndani ya chama.

Je, yeye ndiye anayewatuma G55 kufanya wanayofanya? Kama hawatumi, kwa nini hawakemei au hawatuizi? Maana hao wote walimuunga mkono wakati wa uchaguzi.

Soma pia: Ukimya wa Mbowe

Maana kama aliridhia kushindwa uchaguzi, ilitarajiwa awe wa kwanza kuvunja kundi lake na kuendelea kukijenga chama alichokiongoza kwa miaka 20.

Kipindi hiki ambacho chama kimeingia kwenye dhoruba kali, mawimbi yanakipiga ndani na nje, ilitarajiwa Mbowe aamshwe akemee upepo (G55) ili chama kitulie. Kama vile Yesu alivyoamshwa na wanafunzi wake, yeye aliamka na kuukemea upepo na hali ikawa shwari.

Ukimya wa Mbowe nao ni jibu; kwamba huenda ama anaratibu mvurugano unaoendelea au ameona kama kukosa wakose wote. Kufanya kosa sio lazima ulifanye moja kwa moja; hata kuzuia kosa lisifanyike nako ni kufanya kosa. Mbowe anaweza kabisa kuwazuia G55 wasifanye wanachokifanya, lakini yeye amechagua kukaa kimya, maana yake ameridhia dhoruba iendelee ndani ya chama hicho.

Wapo wanaodai kuwa ukimya wa Mbowe una kishindo kikubwa na kwamba anajipanga kurejea kwenye ulingo wa siasa kivingine, hivyo kwa sasa anatuma vijana wake kumwandalia njia ya kupita.

Wengine wamekwenda mbali wakisema, Mbowe anajutia kuruhusu uchaguzi ulio huru na wa haki uliowawezesha Lissu na Heche kushinda. Watu hao wanadai kuwa, lawama zinatoka kwa baadhi ya matajiri waliokuwa wakikifadhili chama hicho kupitia kwa Mbowe na yeye mwenyewe amewakubalia hivyo, anatafuta ‘plan B’ ambayo sasa ataonyesha mabavu yake akishindana na Chadema aliyoijenga mwenyewe.

Kama atafanikiwa kwa njia hiyo, bado atakuwa na mtihani mwingine wa kukubalika kwa wananchi. Wengi wanahisi kuna fedha chafu zimewekwa kufanikisha mkakati huu, lengo likiwa ni kudumaza upinzani.

Hiyo ni kutokana na mani aliyoijenga ndani ya Chadema kwa zaidi yamiaka 33 aliyotumika ndani ya chama hicho. Anapaswa kuilinda heshima hiyo kwa kukubaliana na matokeo yaliyowaweka wenzake madarakani.

Thanks Quote Reply
Report
  • Thanks
Reactions:Benjamini Netanyahu and Smart911
[IMG alt="Smart911"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/194/194588.jpg?1738517738[/IMG]

Smart911​

Platinum Member​

Muda utaongea...

Cc: Mahondaw

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Mshangazi dot com"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/60/60740.jpg?1738572901[/IMG]

Mshangazi dot com​

JF-Expert Member​

Kuna msemo wa mashariki ya kati usemao “Speech is silver, silence is golden”

Tuishi humo!

Thanks Quote Reply
Report
  • Thanks
Reactions:Chifu mkuu and DR VRM
M

Munjombe​

JF-Expert Member​

View attachment 3335928

Click to expand...
Sijawahi ona mchaga akiachia cheo cha uenyekiti kirahisi rahisi hivyo mwamba bado anauchungu usikute ndio anaendesha figisu ili tu Chadema ianguke waunde cha kipya kama alivyokuwa anafanya Lyatonga Mrema

Thanks Quote Reply
Report
  • Thanks
Reactions:johnthebaptist
J

johnthebaptist​

JF-Expert Member​

Akiongea hali inaweza kuwa mbaya zaidi Kwani sababu za kufungwa Duka hata Yule mchagga Lema kaziunga mkono 😁

Thanks Quote Reply
Report
  • Thanks
Reactions:Benjamini Netanyahu
K

KERATO MOMBAA​

JF-Expert Member​

WAKATI HUO TUNAPOMLAUMU MBOWE TUKUMBUKE YAFUATAYO:

1. mbowe tulimuita kuwa ni msaliti, je tunataka aje kuendeleza usaliti? au tunataka tukimye tumtumie kama mtuliza upepo halafu tumgeuke kumuita msaliti na tumsulubishe kama yesu?

2. umetumia mfano wa yesu, yesu alifanya mengi mema, lakn bado walimuua, je mnataka yaliyomtokea yesu yamtokee na mbowe?

3. umesema mbowe ana pesa chafu, na lisu alisema hivo, je ni kweli mbowe akisema sasa, tutaamini hana pesa chafu kuivuruga chadema?

4. kama chadema ipo imara na inakubalika na wananchi kwa kampeni yao, kwa nini tunampgia kelele mbowe? si tulitaka chadema ya harakati? tunalia lia nini?

5. tunataka mbowe aongee, ili jumba bovu likianguka, limuangikie mbowe?

6. tunaamini mbowe aliifanyia biashara cdm, sasa leo tunamtaka alete tena biashara?

7. kwa matusi aliyotukanwa mtamsafisha kwa njia ile ile au mtamtumia kama kondomu?

8. CDM tunapigania demokrasia lakn sisi hatuna.

TUACHE UNAFIKI NA UZANDIKI, ACHA CHAMA KIWE CHINI YA MIONGOZO MIPYA KAMA TULIVYOTAKA.

Thanks Quote Reply
Report
  • Nzuri
  • Thanks
  • Kicheko
Reactions:imarilo, Introsagvert, mihapase and 2 others
G

Gypsum Screw​

JF-Expert Member​

unamfananisha mnywa konyagi Mboye na Yesu?

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="erasto Samwel"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/777/777484.jpg?1739976696[/IMG]

erasto Samwel​

Senior Member​

Yesu ni yesu

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="DR VRM"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/776/776890.jpg?1725967761[/IMG]

DR VRM​

JF-Expert Member​

Sijawahi ona mchaga akiachia cheo cha uenyekiti kirahisi rahisi hivyo mwamba bado anauchungu usikute ndio anaendesha figisu ili tu Chadema ianguke waunde cha kipya kama alivyokuwa anafanya Lyatonga Mrema
..halafu anaychukua siyo mchaga, ila ni kivuruge ambaye haiwezekani "baba wa chama kumdhibiti"

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Chifu mkuu"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/793/793449.jpg?1739095993[/IMG]

Chifu mkuu​

JF-Expert Member​

unamfananisha mnywa konyagi Mboye na Yesu?
Kwani Yesu si aliwanywesha konyagi wanafunzi wake akawaambia " chukueni hii kunyweni ikiwa ni damu iliyomwagika kwa ajili yenu?"

Thanks Quote Reply
Report
J

Jokeri112​

Member​

Tumuache FAM apumzike kama tulivyotaka

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Wyatt Mathewson"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/469/469317.jpg?1559285104[/IMG]

Wyatt Mathewson​

JF-Expert Member​

View attachment 3335928

Katika kitabu cha Marko 4:35-41, Biblia inaelezea tukio la Yesu kutuliza dhoruba iliyotishia kusambaratisha mtumbwi waliokuwa wakisafiria.

Biblia inasema siku hiyo, ilipokaribia jioni, aliwaambia wanafunzi wake, “Tuvuke, twende ng’ambo ya pili.” Wakawaacha wale watu wakaingia katika ile mashua ambamo Yesu alikuwa amekaa. Pia palikuwa na mashua nyingine.

Pakatokea dhoruba kali, mawimbi yakaipiga ile mashua waliyokuwa wakivukia, ikaanza kujaa maji. Yesu alikuwa amelala akiegemea mto sehemu ya nyuma kwenye ile mashua. Wanafunzi wake wakamwamsha, wakamwambia, “Mwalimu, hujali kwamba tuna zama?’ Akaamka, akaukemea ule upepo, akaiambia ile bahari, “Kaa kimya! Tulia!” Ule upepo ukatulia, kukawa shwari.

Ni wazi kwamba mambo si shwari ndani ya Chadema, kwani kuna dhoruba kubwa inakipiga chama hicho tangu ulipomalizika uchaguzi mkuu ndani ya chama hicho, ambao ulimweka madarakani Tundu Lissu kama mwenyekiti na John Heche kama Makamu Mwenyekiti.

Inaonekana aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na kundi lake hawakuyapokea matokeo hayo kwa moyo mkunjufu. Hiyo ni kutokana na kinachoendelea sasa, ambapo watu wa kundi lake sasa wameunda kundi la G55 wakikosoa uongozi uliopo madarakani.

Januari 22, 2025 baada ya uchaguzi mkuu wa chama hicho, Mbowe alihutubia mkutano mkuu, ambapo alisisitiza makundi ya uchaguzi kuvunjwa na uongozi mpya kupoinya majeraha ya uchaguzi.

Baada ya hapo uongozi mpya pamoja na mengine uliunda kamati ya maridhiano iliyoongozwa na baadhi ya wazee wa chama hicho, lengo likiwa ni kupatanisha makundi yaliyokuwa yakisigana wakati wa uchaguzi.

Lakini kinachoendelea sasa ni kinyume, kwani G55 wameibuka wakipinga kila kinachofanywa na uongozi mpya. Wamepinga utekelezaji wa kampeni ya Hakuna Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi.

Soma pia: Waraka wa G55

Licha ya uongozi mpya kuwaita watia nia Makao makuu ya Chadema Mei 3 kujadili mwenendo wa chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu, G55 hawakufika, badala yake waliandika waraka kwa Katibu mkuu wa chama hicho na baadaye wakaitisha mkutano na waandishi wa habari wakipinga kuzuiliwa kugombea.

Wakati huu ambao Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu amekamatwa na kufunguliwa kesi ikiwamo ya uhaini, wakati chama kikiendelea na kampeni ya Hakuna Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi, G55 wano wanaendelea kupambana na uongozi mpya na sasa wanajiondoa Chadema kwa makundi tofauti kila uchwao.

Ieleweke kwamba G55 wamegawanyika katika makundi mawili; kundi la kwanza linatangaza kujitoa Chadema lakini hawasemi wanakwenda wapi. Kundi la pili ni wale wasiojitoa Chadema lakini wanaendelea kuchokoa uongozi uliopo madarakani.

Miongoni mwa waliopo kundi la pili ni pamoja na Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, Lembrus Mchome ambaye amekishitaki chama hicho kwa Msajili wa Vyama vya Siasa akilalamikia uteuzi wa baadhi ya viongozi uliofanywa na Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu na kuridhiwa na kikao cha Baraza Kuu Januari 22.

Mchome anadai kuwa kikao hicho hakikuwa kimetimiza akidi na kwamba baadhi ya waliopiga kura hawakuwa wajumbe halali. Tayari Msajili amesharidhia malalamiko hayo na ametangaza kuwatangua viongozi hao akiwamo Katibu Mkuu, John Mnyika.

Katika kundi hilo, yupo pia Makamu Mwenyekiti mstaafu wa chama hicho upande wa Zanzibar, Said Issa Khamis na wenzake wawili ambao wamekishitaki chama hicho Mahakama Kuu wakidai kuwa hakitendi haki katika mgawanyo wa mali. Hivyo wanaiomba Mahakama isimamishe shughuli za chama hadi kesi hiyo itakaposikilizwa.

Kwa hiyo utaona kundi la kwanza linatangaza kujitoa Chadema na huenda kuna mikakati na ahadi nono huko waendako na kundi la pili linabaki ili kuendelea kuchokonoa uongozi uliopo. Ilimradi wakiache chama hicho kikiwa kimekufa kabisa.

Ukimya wa Mbowe

Ni wazi kwamba chokochoko hizi zote zinafanywa na makada na viongozi wa Chadema waliokuwa wakimuunga mkono Mbowe katika uchaguzi. Kwa kuwa walishindwa uchaguzi, kuna kila daklili kwamba bado wanaumia, hivyo wanaona bora wakose wote.

Tangu uchaguzi wa Chadema ulipokwisha, Mbowe ambaye ni mjumbe wa kamati kuu, hajaonekana kwenye kikao chochote kilichoitishwa na uongozi mpya. Pia hajazungumza lolote kuhusu vurugu zinazoendelea ndani ya chama.

Je, yeye ndiye anayewatuma G55 kufanya wanayofanya? Kama hawatumi, kwa nini hawakemei au hawatuizi? Maana hao wote walimuunga mkono wakati wa uchaguzi.

Soma pia: Ukimya wa Mbowe

Maana kama aliridhia kushindwa uchaguzi, ilitarajiwa awe wa kwanza kuvunja kundi lake na kuendelea kukijenga chama alichokiongoza kwa miaka 20.

Kipindi hiki ambacho chama kimeingia kwenye dhoruba kali, mawimbi yanakipiga ndani na nje, ilitarajiwa Mbowe aamshwe akemee upepo (G55) ili chama kitulie. Kama vile Yesu alivyoamshwa na wanafunzi wake, yeye aliamka na kuukemea upepo na hali ikawa shwari.

Ukimya wa Mbowe nao ni jibu; kwamba huenda ama anaratibu mvurugano unaoendelea au ameona kama kukosa wakose wote. Kufanya kosa sio lazima ulifanye moja kwa moja; hata kuzuia kosa lisifanyike nako ni kufanya kosa. Mbowe anaweza kabisa kuwazuia G55 wasifanye wanachokifanya, lakini yeye amechagua kukaa kimya, maana yake ameridhia dhoruba iendelee ndani ya chama hicho.

Wapo wanaodai kuwa ukimya wa Mbowe una kishindo kikubwa na kwamba anajipanga kurejea kwenye ulingo wa siasa kivingine, hivyo kwa sasa anatuma vijana wake kumwandalia njia ya kupita.

Wengine wamekwenda mbali wakisema, Mbowe anajutia kuruhusu uchaguzi ulio huru na wa haki uliowawezesha Lissu na Heche kushinda. Watu hao wanadai kuwa, lawama zinatoka kwa baadhi ya matajiri waliokuwa wakikifadhili chama hicho kupitia kwa Mbowe na yeye mwenyewe amewakubalia hivyo, anatafuta ‘plan B’ ambayo sasa ataonyesha mabavu yake akishindana na Chadema aliyoijenga mwenyewe.

Kama atafanikiwa kwa njia hiyo, bado atakuwa na mtihani mwingine wa kukubalika kwa wananchi. Wengi wanahisi kuna fedha chafu zimewekwa kufanikisha mkakati huu, lengo likiwa ni kudumaza upinzani.

Hiyo ni kutokana na mani aliyoijenga ndani ya Chadema kwa zaidi yamiaka 33 aliyotumika ndani ya chama hicho. Anapaswa kuilinda heshima hiyo kwa kukubaliana na matokeo yaliyowaweka wenzake madarakani.
Click to expand...
nachoona ni uongozi mpya kutafuta excuses za ajabu

yaani ni as if Mbowe ana power kubwa sana ya kuamua kitu kikafanyika ndani ya chama

yote haya ni kazi hafifu ya uongozi mpya ku take charge na kuongoza chama kwa usahihi watu wawe convinced wabaki na kutoa support

sasa aftermath zinatokea still wanaenda mtafuta Mbowe awasaidie,akinyamaza maana yupo retirement wanaanza kulia na kulalamika

ni as if huu uongozi mpya ni group la watoto wasioweza jisimamia na kusimamia chama kikawa appealing kwa wote

hiyo ni kazi yao 100%.......kumfata mbowe na kuanza kumlalamikia ni excuses tupu

Thanks Quote Reply
Report
  • Thanks
Reactions:Teknocrat
[IMG alt="Benjamini Netanyahu"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/239/239258.jpg?1700130172[/IMG]

Benjamini Netanyahu​

JF-Expert Member​

Upo sahihi Mbowe ana kinyongo haswa

Kwanini Mbowe baada ya kushindwa hashiriki kujenga chama na wakati ni mjumbe wa kudumu?

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Benjamini Netanyahu"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/239/239258.jpg?1700130172[/IMG]

Benjamini Netanyahu​

JF-Expert Member​

Tumuache FAM apumzike kama tulivyotaka
Inaonyesha hakukubali matokeo kwa moyo mmoja

Thanks Quote Reply
Report
  • Thanks
Reactions:Jokeri112
[IMG alt="Benjamini Netanyahu"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/239/239258.jpg?1700130172[/IMG]

Benjamini Netanyahu​

JF-Expert Member​

Akiongea hali inaweza kuwa mbaya zaidi Kwani sababu za kufungwa Duka hata Yule mchagga Lema kaziunga mkono 😁
Acha ukabila wewe UWT

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Benjamini Netanyahu"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/239/239258.jpg?1700130172[/IMG]

Benjamini Netanyahu​

JF-Expert Member​

Sijawahi ona mchaga akiachia cheo cha uenyekiti kirahisi rahisi hivyo mwamba bado anauchungu usikute ndio anaendesha figisu ili tu Chadema ianguke waunde cha kipya kama alivyokuwa anafanya Lyatonga Mrema
Acheni ukabila wa kijinga, CDM haikusajiliwa kama chama cha wachaga

Thanks Quote Reply
Report
G

Gypsum Screw​

JF-Expert Member​

Kwani Yesu si aliwanywesha konyagi wanafunzi wake akawaambia " chukueni hii kunyweni ikiwa ni damu iliyomwagika kwa ajili yenu?"
mimi sikuwepo, wewe ulikuwa mmoja wa wanafunzi wake mliopewa konyagi?

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Chifu mkuu"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/793/793449.jpg?1739095993[/IMG]

Chifu mkuu​

JF-Expert Member​

mimi sikuwepo, wewe ulikuwa mmoja wa wanafunzi wake mliopewa konyagi?
Mimi ni mwanafunzi mtiifu na mwaminifu kwa mtume Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم.
Hizo stori za wanafunzi wa Yesu kupewa konyagi nasikia zimo kwenye biblia.
Ila hadi leo pia nasikia Kuna kanisa fulani kubwa sana duniani linagawa konyagi kwa waumini wake na kuwaambia kuwa ni damu ya yesu iliyomwagika msalabani.

Thanks Quote Reply
Report
K

Kinjeketile​

JF-Expert Member​

Wanaopaswa kukiunganisha chama na kuvunja makundi baada ya uchaguzi ni viongozi waliopo madarakani, hiyo ndio kazi ya uongozi kuwaunganisha watu otherwise hata uongozi wa familia/ukoo hautouweza. Ili uweze kuwaunganisha watu lazima uwe msikivu kwa watu wako wote wanaounga mkono hoja zako na wanaopinga hoja zako, na kuziunganisha hoja. Ukitaka kuwaswaga watu kama ng'ombe zako lazima utawagawa au utawaongoza kwa mabavu (udikteta) ambapo katika nchi unahitaji dola ili kufanikisha udikteta, na katika familia/ukoo unahitaji nguvu ya pesa na uchumi ili uwaswage wana ukoo kama ng'ombe zako vinginevyo watakukimbia wote.

Mbowe ni kiongozi aliyeshindwa uchaguzi, hiyo mjumbe wa kudumu wa kamati kuu inapendeza ikiwa mtu amestaafu mwenyewe siyo kwa kushindwa uchaguzi uliotawaliwa na kuchafuana kuliko pitiliza namna ile(Amekula hela Abdul na mama yake 😄 🤣 😂 ila Lisu). Nendeni mkamuombe msamaha mzee wa watu ametumia zaidi ya nusu ya Umri wake kuijenga hiyo CHADEMA mnayojivunia leo na kumuita yeye ni msaliti katika kipindi alikuwa anawauza tu kwa maccm na upinzani umepatikana kupitia Lisu.

Kiongozi uliyestaafishwa kwa kashifa kuja kujiongelesha bila kuombwa hiko ni kiherehere cha kiwango cha SGR. Kama mnahitaji ushauri wake kamuombeni, na akipingana na msimamo yenu msije kumkashifa kwenye mikutano yenu ya hadhara.

Kwa hali ilivyo njia mzuri ya Mbowe kulinda heshima yake ni kunyamaza kimya na wala hasihame cham
 
mbo mengi yanaendelea kwenye chama chenu kama vile kuhama viongozi na wanachama, kukamatwa Tundu Lisu, kuuawa Mdude, kutenguliwa kamati nk je kuna ubaya gani ukienda kuonana na Mwenyekiti Mstaafu Mbowe ukiwa na baadhi ya wazee maarufu kuchota busara yake. Haitakupunguzia kitu chochote.
Kwa akili zako Mbowe ana busara , busara yake iliisha siku alipo amua kukigawa chama
 
Mbowe yupi mwenye busara?. Huyu aliyesema atastaafu akifikisha miaka 68?. Mwishowe Lissu kamstaafisha kwa Lazima.
 
Back
Top Bottom