CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
MBOWER NI KICHAA
Mimi mwenyewe nimerudia kusoma hapo. Dunia, vyeo, madaraka,ukuu, vinampofusha sana mwenda Jehanam. Mwisho wa siku hazikwi na pesa, magari, wala majumba. Na roho yake motoni na mwili wake samadi juu ya nchi.Duh! Jamaa ameuwawa
Na ongeza Mwanza, Kagera zitakuwa ngome na siyo kanda ya kaskaziniKwa sasa DSM, Mbeya, Mara na Iringa ndio zitakuwa Ngome za Chadema 😂
Inasikitisha sana mkuu.Mimi
Mimi mwenyewe nimerudia kusoma hapo. Dunia, vyeo, madaraka,ukuu, vinampofusha sana mwenda Jehanam. Mwisho wa siku hazikwi na pesa, magari, wala majumba. Na roho yake motoni na mwili wake samadi juu ya nchi.
Anayeshupaza shingo, hukatika. Wacha akina Heche washupaze shingo hadi likatike. Leo hii kisheria, Mnyika hatakiwi kutambulishwa kama Katibu Mkuu wa Chadema. Sasa wacha nae ashupaze shingo aone! Nyambafu!Mambo mengi yanaendelea kwenye chama chenu kama vile kuhama viongozi na wanachama, kukamatwa Tundu Lisu, kutekwa Mdude, kutenguliwa kamati nk je kuna ubaya gani ukienda kuonana na Mwenyekiti Mstaafu Mbowe ukiwa na baadhi ya wazee maarufu kuchota busara yake. Haitakupunguzia kitu chochote.
Kwani chadema mpya wakizungumza na Mbowe na kumuomba awasaidie kuituliza chadema watapungukiwa nini?!Bahati yetu nzuri sisi sote, na wewe ukiwemo, huu ni ushauri tu!
Kwa CHAEMA Mpya na viongozi wake na kwa waTanzania wote wanaotaka mabadiliko chanya, ni ushauri wa hovyo kabisa.
Wewe tayari umekwisha hitimisha "CHADEMA inakufa"!Kwani chadema mpya wakizungumza na Mbowe na kumuomba awasaidie kuituliza chadema watapungukiwa nini?!
Kumbukeni waswahili husema:
"Mwana mkaidi hafaidi hadi siku ya idi"
KIBURI CHA LISU NDIO KINAIUA CHADEMA.
Kati ya mambo ambayo nikisema mtashangaa sana ni kwamba John Mnyika ni team ya Mbowe ila ni swala la muda tu!
Mnyika anangoja siku ambayo Mbowe atakuwa muwazi kuhusu swala la G55 kisha na yeye atakifuata kibula alichoelekea Freeman Mbowe.
Mbowe ni sehemu ya tatizo.
Siku alipo chagua kushindania uenyekiti na Lissu ndipo alipotengeneza matatizo ya sasa kuwa makubwa.
Kama hadi Dr Slaa alihama chadema na akina zitto, na wale covid 19 tena wakati wa Mbowe, kuna cha ajabu kipi hwa takataka wakijitoa? Hawatakua wa kwanza wala wa mwisho kuhama chama, chama la wana bado lipo hata wakitoka wote, bado kuna new members watajiunga na chama kitakuaMambo mengi yanaendelea kwenye chama chenu kama vile kuhama viongozi na wanachama, kukamatwa Tundu Lisu, kutekwa Mdude, kutenguliwa kamati nk je kuna ubaya gani ukienda kuonana na Mwenyekiti Mstaafu Mbowe ukiwa na baadhi ya wazee maarufu kuchota busara yake. Haitakupunguzia kitu chochote.
Mbowe na vijana wake ni kitu kimoja , hakuna chochote vijana wake wanafanya au fanyiwa hajui, Mbowe sio mjinga ,ila akizingua tunamzingua pia.Mambo mengi yanaendelea kwenye chama chenu kama vile kuhama viongozi na wanachama, kukamatwa Tundu Lisu, kutekwa Mdude, kutenguliwa kamati nk je kuna ubaya gani ukienda kuonana na Mwenyekiti Mstaafu Mbowe ukiwa na baadhi ya wazee maarufu kuchota busara yake. Haitakupunguzia kitu chochote.
🙄😄🤔NIMELISHAURI JAMBO KAMA HILI KILA SIKU, LAKINI HWA AKINA HECHE, LISU NA LEMA WALIKUWA NA FUNDO KUBWA NA MBOWE WALILOLIFICHA KWA MUDA MREFU.