Kwa hali hii kwa nini Heche usitete na Mbowe kuna ubaya gani ukachota busara

Kipindi cha Mbowe wamekufa watu wengi sana kama
 
Mimi

Mimi mwenyewe nimerudia kusoma hapo. Dunia, vyeo, madaraka,ukuu, vinampofusha sana mwenda Jehanam. Mwisho wa siku hazikwi na pesa, magari, wala majumba. Na roho yake motoni na mwili wake samadi juu ya nchi.
Inasikitisha sana mkuu.
 
So mfano mbowe akifa au akapata maradhi yatakayomzuia kuongea na watu, ndio mwisho wa siasa za upinzani? Yaani Mbowe ndie last opposition leader au?
 
Anayeshupaza shingo, hukatika. Wacha akina Heche washupaze shingo hadi likatike. Leo hii kisheria, Mnyika hatakiwi kutambulishwa kama Katibu Mkuu wa Chadema. Sasa wacha nae ashupaze shingo aone! Nyambafu!
 
Heche tangu amalize mkutano wa Musoma hajaonekana hadharani, mkutano wa Bariadi alikuwa mnyika peke yake na mkutano wa Shinyanga mjini lema alikuwa peke yake huku akimshambulia katambi kwa maneno makali. Je heche yuko mapumziko au nayeye kaungana na wasira?
 
Bahati yetu nzuri sisi sote, na wewe ukiwemo, huu ni ushauri tu!
Kwa CHAEMA Mpya na viongozi wake na kwa waTanzania wote wanaotaka mabadiliko chanya, ni ushauri wa hovyo kabisa.
Kwani chadema mpya wakizungumza na Mbowe na kumuomba awasaidie kuituliza chadema watapungukiwa nini?!
Kumbukeni waswahili husema:
"Mwana mkaidi hafaidi hadi siku ya idi"
KIBURI CHA LISU NDIO KINAIUA CHADEMA.
Kati ya mambo ambayo nikisema mtashangaa sana ni kwamba John Mnyika ni team ya Mbowe ila ni swala la muda tu!
Mnyika anangoja siku ambayo Mbowe atakuwa muwazi kuhusu swala la G55 kisha na yeye atakifuata kibula alichoelekea Freeman Mbowe.
 
Wewe tayari umekwisha hitimisha "CHADEMA inakufa"!
Hilo pekee linakuondolea sifa ya kushauri.
Maana yako ni kuwa bila Mbowe, CHADEMA haiwezi kubaki salama?
 
Mbowe alisha lamba asali, ataendaje? Chama kiko vizuri, chama watu, watu wa kawaida wanazidi kukiamini, fahamu wapitiayo chadema ni tofauti na yaliyotokea cuf, ndani ya chadema viongozi safi wamebaki tofauti cuf walibaki mamluki! Matokeo chadema wapenzi wanaongezeka na kuiamini zaidi kwa cuf walipungua na imani ilishuka! Vyote vilipata msukosuko kimoja kwa kuimarika kingine kwa kudorora!
 
Kama hadi Dr Slaa alihama chadema na akina zitto, na wale covid 19 tena wakati wa Mbowe, kuna cha ajabu kipi hwa takataka wakijitoa? Hawatakua wa kwanza wala wa mwisho kuhama chama, chama la wana bado lipo hata wakitoka wote, bado kuna new members watajiunga na chama kitakua
 
Mbowe na vijana wake ni kitu kimoja , hakuna chochote vijana wake wanafanya au fanyiwa hajui, Mbowe sio mjinga ,ila akizingua tunamzingua pia.

Mbowe yuko mbele ya wakati sana.
 
NIMELISHAURI JAMBO KAMA HILI KILA SIKU, LAKINI HWA AKINA HECHE, LISU NA LEMA WALIKUWA NA FUNDO KUBWA NA MBOWE WALILOLIFICHA KWA MUDA MREFU.
πŸ™„πŸ˜„πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…