Kwa hali hii tatizo la nguvu za kiume halitaisha

Kwa hali hii tatizo la nguvu za kiume halitaisha

Stanboy

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
1,114
Reaction score
1,308
Hello,

Uvaaji wa wadada unatupa shida sana sisi wanaume tuliokamilika,kiasi kwamba tunajikuta tunasimamisha mara kwa mara.

Unakutana na mdada kavaa mini skirt mapaja yote yako nje nje. Kifua kimeachwa kipumue wengine hata viuno viko nje..hizi suruali zilizochanwa chanwa nazo zimeongeza tatizo unakutana na dada upaja umejaa kweli kweli (kwa sauti ya yule jamaa) halafu upo nje nje tu.

Usiombe upande kwenye daladala za Mbagala au mwendokasi za Kimara ule mbanano halafu ukae karibu na mdada utapata tabu kama si kudharirika...yaani dada zetu wanavyovaa si kazini si mtaani wanatupa mitihani sana...hii inapelekea upungufu wa nguvu za kiume aisee mara kila muda unawaza kugaragaza tu..ukituliza akili kidogo mara mtu kakatiza na dera kaaa!

Yaani ukitoka tu nyumbani unakutana na wadada wamevaa kihasarasara yaani kama wako night club, hebu mtupumzishe jamani kaa.

B784E646-D60D-4284-B0BE-D8FDC4535853.jpeg

 
Sawa tumekuelewa mjumbe maalumu kutoka CHAPUTA
Hahahaaa hayo mambo ya vijana advanced level huko...wazee sisi tushaacha..sema dada zetu wanatupa tabu sana mtaani
 
Kwan si mfunge macho[emoji28][emoji28]
Mnatuumiza sana kwakweli,tunajikuta tunawaza mapenzi tu kila muda akili hazitulii na tukichepuka mnatulalamikia kumbe chanzo nyie🤪
 
"Nakuombea wema na baraka" nimenukuu tu toka kwenye hio kanga
 
Katika nyakati hizo unafikiria vitu kama ukimwi unakuita, mavi, au takataka tu unaenda zako... Life is a state of mind
 
Back
Top Bottom