Kwa hali hii tatizo la nguvu za kiume halitaisha

Naunga mkono hoja hakika tatizo hili halitatuacha salama aisee
 
Wakawaida sana tu huyo, hajanisjawishi kwa loloteee, ukitaka ufe kwa hii Mambo nenda pita kwa bahati mbaya hostel yeyote ya chuo ya watoto wa kike,
Huu ni mfano tu,ila nadhani huko mtaani kwako unajionea balaa
 
Tulia mzee hali ya kawaida hiyo mbona ukienda Miami beach si unaweza fikiri umefika paradiso kabisa!! [emoji23]

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
π™·πšžπšž πšžπš£πš’ πš’πš•πš’ πšπšžπšŒπš‘πšŠπš—πšπš’πšŽ πšŸπš’πš£πšžπš›πš’ πšžπš—πšŠπš‘πš’πšπšŠπš“πš’ πš™πš’πšŒπš‘πšŠ 𝚣𝚊 πš”πšžπšπš˜πšœπš‘πšŠ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…