Kwa hali hii tatizo la nguvu za kiume halitaisha

Maelezo ya mtoa mada ni kweli yanajadilika, ila kakosea kuweka picha ya kitu ambacho hajakilalamikia.
Angetupia yenye kimini au Chuchu zilizobustiwa zingeendana na hii mada.
 
Yaan umesema kweli mkuu,huwa napata shida sana pia ...akili haikai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…