steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Tutafika tu huko na kila dogo atakayefanya mziki hata kama kidogo tu atapata maisha kama huko,si unaona hata wanaija wanavyotake over?Hahaha eti uchumi unawabeba.
Na Nyie SI donor country si mjibebe