CPA
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 809
- 354
Kuanzia tarehe 24 Urussi imekuwa ikashambulia ukraine kwa makombora toka kila upande (Angani, ardhin na baharini), hii imetokea baada ya vita ya ardhini kupata upinzani mkubwa toka kwa majeshi ya ukraine na washirika wake baada ya kupokea shehena ya siraha toka nchi za magharibi.
Sasa Urussi anashambulia zaidi ghala za siraha, oil reserve na air defence system na commanding centre ili kuzoofisha nguvu ya jeshi la ukraini na washiriki wake. Hadi kufukia jana jumla ya drones 256 za ukrain zimedungulia, hizi drones ndio zinazozisumbua russia kwa kutarget misafara ya jeshi la Russia.
Mashambulizi ya karibuni yamefanya majeshi ya ukraine kutopata mahitaji kama chakula na siraha na baadhi ya wanajeshi kuanza kujisalimisha. Angalia hapo trend inavyokwenda ni kama Russia ana izunguka ukraine.
Ni wakati sasa Rais wa Ukraine akae chini na Putin kumaliza hii vita maana nchi inaelekea kuwa jivu, wananchi wanateseka achane na propaganda za vyombo vya habari za magharibi...chakula shida, nchi haina umeme, maji hakuna majengo yanabimolewa, wananchi wanakimbia nchi.
Ila nae Putin amepata fundisho na hasara kubwa kwenye vita hii ijapokuwa anelekea kushinda ila cha mtema kuni amekipata.