Kwa hali hii Zelensky akubali yaishe, kuokoa nchi kuwa magofu. Ila Putin amepata fundisho

Kwa hali hii Zelensky akubali yaishe, kuokoa nchi kuwa magofu. Ila Putin amepata fundisho

Ndio vita ilivyo, kupoteza askari na silaha ni kawaida kwa vita zote hata kwa mataifa makubwa. Kwahiyo media za west kusema urussi wamekutana madhila hayo warejee us vietnam war na ops za uarabuni wajitathmini troops ngapi zilipotea. Ni mtu asiyejua vita utakayemwabia warussi wamekufa wengi hiyo ni sign ya kushindwa. Ukweli usio na hila ukraine wangesimama wao wenyewe wiki ya pili wangenyoosha mikono juu, kwa hiyo hii ni vita kati ya Russia na western backed Ukraine. Huo ndio mtizamo wangu.

Sent from my HTC Desire 10 lifestyle using JamiiForums mobile app
Sio TU ni mtizamo wako,Bali ulichoandika ndio Ukweli wenyewe.
 
Back
Top Bottom