Kila nikiingalia Ukrain nabaki kujiuliza waafrika huwa wanafuta nini ! Kinchi ni barafu tupu hakuna green kujumlisha na mavofu nchi imekuwa ya mwaka 1600 bora hata libya ya somalia. Yani nchi imeharibiwa vibaya. Lengo la NATO ni nini mbina nchi ishaharibika nao wapi tu wanatima tusilaha fake mbona hawapeldki msaada wa midege ilioshambulia libya na Iraq.
Mwanzoni mwa vita wluxuia wanaume wote wasitoke huku kwetu tinsitaga migambo, hawana mafunxo yoyote wanawaweka wapigane na fashist Putin, kweli?
Naona mbinu ya Taliban ilikuwaga nzuri sana, walitoroka wote, wakavaa kiraia wakaanzisha terorism attack mpaka USA akasanda, Hata Chechnya waliisumbua urusi kwa muda mrefu, Ukrain wameua vijana wao ambao wangeweza kwenda kujipanga nchi zingine.Tactics za Zelennsky za hovyo.