Sina uhakika na namba ya drones, ila najua alikuwa anapewa drones za kisasa zaidi toka US. Hakuna umuhimu wa kunyoosha mikono, vita ipigwe mpaka dakika ya mwisho.
Emu tuambie kwa herufi kubwa kabisa Putini ameishia wap kwenye hii vita, Je amefanikiwa kumuweka kibaraka wake Kyiv???
Unaijua nuclear mkuu au unafurahi tu.Wajapani waliambiwa surrender wakagoma vilipotupwa vitu viwili ambavyo hawajawhi kuviona wala kuvisikia vita ikaisha hapo hapo, taifa lenye nuclear linashindwaga !Putini wa mchongo amepewa somo na yule mukimuita Commedian ambaye sasa anaenda kuwa shujaa wa ulimwengu kwa kuvamiwa ni taifa kubwa lilokuwa linajinata kuisambaratisha NATO lakini kumbe Ukraine ya Commedian tu ndio ilikuwa kiboko yake,
Sasaiv Zelensky ni yeye mwenyewe tu ata akiamua kujiunga na NATO mara elfu100 zaidi kwa siku yuko huru kufanya hivyo, mrusi kwanza ana kazi kurekebisha vifaru vyake ambavyo tunaambiwa vimeibiwa parts na walalahoi mapaka commander wa section kufikia kujitoa uhai akiogopa lawama.
Kila nikiingalia Ukrain nabaki kujiuliza waafrika huwa wanafuta nini huko! Kinchi ni barafu tupu hakuna green wala jua kujumlisha na magofu nchi imekuwa ya mwaka 1600 bora hata libya na somalia. Yani nchi imeharibiwa vibaya.Apana ila amefanikiwa kuifanya ukrein jangwa ambalo halitaota nyasi kamwe, na hii imekuwa funzo kwa magaidi wa nato, [emoji635][emoji3577]
Baadhi ya majimbo ya ukrain yanatarajia kupiga kura ya kujiunga na urussi na kujitoa ukraine. Sasa rasmi ukraini igawanyika nchi mbili kama korea. Majimboa haya nadhani ni yale ambayo hayavamiwa na Russia
View attachment 2166214
Kwani mission ilikuwa nini? au unamlisha maneno Putin wewe na BBCEmu tuambie kwa herufi kubwa kabisa Putini ameishia wap kwenye hii vita, Je amefanikiwa kumuweka kibaraka wake Kyiv???
Hiyo ndio ilikuwa mission kuu., sasa kilichotokea mnaona aibu Putin na aila zake., maiti za jeshi la russia zimetapakaa ukraine ni vyema ata kwa ubinadamu muzirejesh kwao ndugu na jamaa watambue watu waoKwani mission ilikuwa nini? au unamlisha maneno Putin wewe na BBC
Mission ilikuwa ni kuneutralize Ukraine military capability hayo mengine yako wewe, sasa wakati tuna neutralize watu wa NATO wanaleta silaha mpya sasa hii vita lazima iwe ndefu, kila jengo litabomolewa kama silaha inasikika humoHiyo ndio ilikuwa mission kuu., sasa kilichotokea mnaona aibu Putin na aila zake., maiti za jeshi la russia zimetapakaa ukraine ni vyema ata kwa ubinadamu muzirejesh kwao ndugu na jamaa watambue watu wao
Sasa mbona kabla ya kuneutralize hiyo Ukraine military na kumaliza kaz wamefurushwa na kukimbilia Donbas??Mission ilikuwa ni kuneutralize Ukraine military capability hayo mengine yako wewe, sasa wakati tuna neutralize watu wa NATO wanaleta silaha mpya sasa hii vita lazima iwe ndefu, kila jengo litabomolewa kama silaha inasikika humo
Unafatilia kweli vita ? Urusi ipo mpaka nje ya viunga vya Kyiv, nani kakwambia ipo Donbas tu ? fatilia mkuu acha propaganda hizo , halafu nakupa habari mbichi ya leo leo hii hapaSasa mbona kabla ya kuneutralize hiyo Ukraine military na kumaliza kaz wamefurushwa na kukimbilia Donbas??
Ivi unajua Zelensky kama kesho ataamua kujiunga na NATO anaweza kufanya hivyo sasa bila ya khofu ata mara elfu 1 zaidi?
Ivi unajua Kyiv imekuwa kama kaa la moto kwa majesh ya Russia? Siku30 ziliisha lakini walishindwa kumueka kibaraka wao? Bendera za Ukraine unajua zinapepea Kyiv muda huu?
Kwanini arudi mpakani Kyiv, kitu gani kilimrejesha? Javelin na Singer???Unafatilia kweli vita ? Urusi ipo mpaka nje ya viunga vya Kyiv, nani kakwambia ipo Donbas tu ? fatilia mkuu acha propaganda hizo , halafu nakupa habari mbichi ya leo leo hii hapa
elenskyy says Ukraine prepared to discuss neutrality
Ukrainian president tells Russian media he is prepared to discuss a peace deal with Russia including neutrality.
kwan tukipigana sebuleni kwang ndo huez kupata jeraha?Rais wao baadae atajitokeza na kudai atamtia Urusi hasara ambayo hajawahi ifikiria, ilhali vita inapiganiwa nyumbani kwake
Unasahau haraka sana , Urusi bado hajaingia KYIV toka vita inaanza ila alikuwa anarusha rocket, halafu kuhusu mazungumzo umesahau kuwa Zelensky alisema kujiunga NATO ni haki yao na akasaini mpaka fomu ile ya kujiunga NATO na mapicha juu, sasa unafikiri kwanini sasa anaamua kuwa neutral ? Ukweli ni kwamba wana jitahidi kudefense lakini wamechoka na vita, ndio maana yuko tayari kutojiunga NATO ili Urusi waondokeKwanini arudi mpakani Kyiv, kitu gani kilimrejesha? Javelin na Singer???
Mazungumzo toka siku ya kwanza ya hiyo muitayo operation Zelensky alisema anataka lakini vita ilikuwa inaendelea vifaru vinachachagwa, ni maneno ya kisiasa na diplomasia ionekane ametimiza wajibu wake si kwa kushindwa na tena Zelensky aliweka wazi kama Putini atakataa mazungumzo basi ajiandae WW3, nyinyi watu wa gongolamboto mulielewa vibaya
Aisee...Kila nikiingalia Ukrain nabaki kujiuliza waafrika huwa wanafuta nini ! Kinchi ni barafu tupu hakuna green kujumlisha na mavofu nchi imekuwa ya mwaka 1600 bora hata libya ya somalia. Yani nchi imeharibiwa vibaya. Lengo la NATO ni nini mbina nchi ishaharibika nao wapi tu wanatima tusilaha fake mbona hawapeldki msaada wa midege ilioshambulia libya na Iraq.
Mwanzoni mwa vita wluxuia wanaume wote wasitoke huku kwetu tinsitaga migambo, hawana mafunxo yoyote wanawaweka wapigane na fashist Putin, kweli?
Naona mbinu ya Taliban ilikuwaga nzuri sana, walitoroka wote, wakavaa kiraia wakaanzisha terorism attack mpaka USA akasanda, Hata Chechnya waliisumbua urusi kwa muda mrefu, Ukrain wameua vijana wao ambao wangeweza kwenda kujipanga nchi zingine.Tactics za Zelennsky za hovyo.
Taarifa hizi unapata wapi au ushabiki tu?unajua Zelensky kama kesho ataamua kujiunga na NATO anaweza kufanya hivyo sasa bila ya khofu ata mara elfu 1 zaidi?
Nimesema kama anataka, Ile dhana kwamba anamuogopa mrussi au anatekeleza amri ya Mrussi kama wakala wake hilo hakuna, pia viongozi mbali mbali wa Ukraine wakiwemo mawaziri na mabalozi pia wamefanya mkutano na Rais wa Marekani juzi Poland.Taarifa hizi unapata wapi au ushabiki tu?
Zelensky kafanya mahojiano na vyombo vya habari vya Russia amesema anataka vita viishe, atanataka ahakikishiwe usalama, hawatajiunga NATO, pia wanajadili Ukraine kutumia lugha ya Kirusi(Russian Language), kuwa neutral state, n.k.
Amekataa madai mengine ya Russia kama demilitarization n.k.
Kurushwa kwa mahojiano hayo kumesababisha serikali ya Russia kuwapa onyo vyombo hivyo na kuanza uchunguzi kama kuna adhabu watapewa wahusika.
Fuatilia Aljazeera habari huru na media zingine.
Naweza kupata ila kwa hii scenario jamaa wanaumizwakwan tukipigana sebuleni kwang ndo huez kupata jeraha?