Hoja hii mkiendelea kuishikilia ndio itawapoteza mazima wapinzani wasipokuwa makini.Watu wanakamatwa na kutupwa ndani hata wanapofanya vikao vya ndani kwanini vyama visidhoofike. La ajabu ni kwamba baadhi ya wapuuzi wanafurahia udikteta huu.
Mungu akubariki sana kaka mkubwaTunashukuru kwa kuleta hii link, sisi wengi tulio kwenye sekta ya utalii tumeshaiona na kupiga kura, hasa kwa makampuni yetu. Ngoja tupigie kura na hizo sehemu nyingine za nchi.
Alianza kabla ya hapo.Zito alidhan Membe ni kama Lowasa, kumbe ameingia cha kike
Nakumbuka Lowasa shughuli za kuhonga ili akuze jina alianza tangu mwaka 2012 hukooo
Ngoja uchaguzi uishe kwanza ndio tutajua
Yani we ulitaka ile siku ya kupiga kura pale ndio watu wapewe muda wa kutosha wa kutoa sera mkuu? Inamaana wewe hujui mchakato unavyokuwa hadi kufika siku ya kupiga kura?Hakuna uchaguzi chini ya awamu hii, bali kuna maonyesho ya kipimo cha ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Mfano mrahisi ni kura za maoni za ccm, watu walikuwa wanapewa dakika 2-3 kunadi sera. Hizo dakika unaweza kunadi sera gani? Matokeo yake walioshinda wengi ni wale waliogawa rushwa. Mtu aliyepita kwa rushwa, ikifika wakati wa uchaguzi mkuu, mwenyekiti wake wa chama ataishia kutumia madaraka yake kulazimisha atangazwe mshindi. Hapo ndio nakuambia hakuna uchaguzi, bali maonyesho ya kipimo cha ujinga wa mtu mweusi.
Yani we ulitaka ile siku ya kupiga kura pale ndio watu wapewe muda wa kutosha wa kutoa sera mkuu? Inamaana wewe hujui mchakato unavyokuwa hadi kufika siku ya kupiga kura?