Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
- Thread starter
- #41
Kelele zilikuwa nyingi kutuaminisha team Membe mkuu kumbe zilikuwa ni propaganda tu.Miaka yote alipokuwa CCM Membe alikuwa akisafiria nyota ya JK.
otherwise ana zero network ndani ya CCM.
plus, hana cha maana cha kuonyesha alichokifanya kikaonekana machoni pa Watanzania akiwa kiongozi katika serekali ya CCM.
wapinzani wakimsimamisha kama mgombea kupitia coalition yao basi watambue kuwa sisi sympathizers wao kura ya urais hatutapiga.