Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
- Thread starter
- #21
Kwani ujuha ni nini?Mchakato ulikuwaje boss, wagombea wengi wanalalamikia muda wa kujieleza. Na sisi mchakato tuliouna ni wa kutia nia, kisha muda mfupi wakachukua fomu. Hakukuwa na zaidi ya wiki mbili toka kuchukua fomu mpaka kura za maoni. Hizo sera walizitolea wapi mpaka wakaeleweka, kiasi kwamba siku ya kura ya maoni wapewe dakika 2? Wakati mwingine kutetea uhuni wa wazi, ni kufanya uonekane juha tu.
Hivi we chukulia mfano Jimbo la kawe wagombea zaidi 170 hebu wape dk 20 za kujieleza kila mmoja itachukua muda gani?
Ungekuwa wewe ndio mratibu wa huo uchaguzi ungeruhusu kitu kama hicho?
We unadhani hao watu hawafahamiki kwenye hayo majimbo? Huko kwenye kata waliokuwa wanazunguka walikuwa wanaenda kufanya nini?