Kwa hali ilivyo CCM Bernard Membe ametudanganya hana ushawishi mkubwa ndani ya chama, hasira ya CCM ni juu ya wahamiaji.

Kelele zilikuwa nyingi kutuaminisha team Membe mkuu kumbe zilikuwa ni propaganda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…