Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 947
- 2,601
Fikiria, kama kweli hali ilivyo kwa sasa ukaambiwa Tanzania tuna vyombo vya usalama, utakubali?
Vyombo vya usalama wanashindwa kumlinda Rais aliyepo madarakani, na watu wanampa kichwa kiwepesi sana.
Tuhuma nzito zipo kuhusu viongozi wetu, pamoja na tuhuma kuhusu Jeshi la Ulinzi na ufisadi ndani yake.
Itakuwa hali ya kutisha kiasi kwamba watanzania wataona ni bora wachore hata ramani kwa adui, maana hatutakuwa na imani na vyombo vyetu vya usalama tena.