Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 947
- 2,601
- Thread starter
- #21
Hii nyumba haina mwenyewe ni kama ukoo wa kambale kila moja ana ndevu.
Nahisi kama vile nna hasira sana moyoni asee.
Nahisi kama vile nna hasira sana moyoni asee.
NimeshangaaKumbe we imani bado unayo mkuu?
ndege JOHN wewe ni ndege tu, hata yesu alisema, tazama ndege wale, hawalimi wala hawavuni.Pamoja na changamoto zote ila naombeni tuendelee Tu kuwa wazalendo kwa TAIFA letu..MAKOSA ya viongozi wachache yasifanye tukaichukia nchi nzuri hii yenye mabonde mazuri.
😀😀😀ndege JOHN wewe ni ndege tu, hata yesu alisema, tazama ndege wale, hawalimi wala hawavuni.
Tuache sie binadamu tukomalie nchi yetu, wewe ni ndege hulimi wala huvuni
C.C.M = Chukua Chako Mapema.Fikiria, kama kweli hali ilivyo kwa sasa ukaambiwa Tanzania tuna vyombo vya usalama, utakubali?
Vyombo vya usalama wanashindwa kumlinda Rais aliyepo madarakani, na watu wanampa kichwa kiwepesi sana.
Tuhuma nzito zipo kuhusu viongozi wetu, pamoja na tuhuma kuhusu Jeshi la Ulinzi na ufisadi ndani yake.
Itakuwa hali ya kutisha kiasi kwamba watanzania wataona ni bora wachore hata ramani kwa adui, maana hatutakuwa na imani na vyombo vyetu vya usalama tena.
Hata kama bado kuna uzalendo lakn kuna namna mioyo ya hao wazalendo inakufa ganziUzalendo umeisha , TISS ni kweli wanaweza kuwa hawakujua hili? Kama hawakujua ni uzembe wa hali ya juu
Hata mimi uzalendo ushakufa kwa haya yanayotokea ukimuona ndugu au mtu yeyote wanakwepa kodi hata hauumiiHata kama bado kuna uzalendo lakn kuna namna mioyo ya hao wazalendo inakufa ganzi
Bora tu wakwepe kodi maana hizo kodi zenyewe zinaliwa na watu wachacheHata mimi uzalendo ushakufa kwa haya yanayotokea ukimuona ndugu au mtu yeyote wanakwepa kodi hata hauumii