Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 947
- 2,601
Mkuu bado nilikuwa na imani lakini hakika imani inatoweka.Kumbe we imani bado unayo mkuu?
KUMBUKA MTEUZI WA WAKUU WA VYOMBO VYA USALAMA NI MTU MMOJA KWA UTASHI WAKEFikiria kama kweli hali ilivyo kwa sasa ukaambiwa tanzania tuna vyombo vya usalama utakubali?
Vyombo vya usalama wanashindwa kumlinda rais aliyeopo madaraka na watu wanamla kichwa kiwepesi sana.
Tuhuma nzito kuhusu viongozi wetu
Tuhuma kuhusu jeshi la ulinzi na ufisadi ndani yake.
Itafika sehemu watanzania wataona ni bora wachore hata ramani kwa adui maana hatutokuwa na imani na vyombo vyetu vya usalama tena.
Mkuu uzalendo utakuwepo sehemu ambapo tayari mbegu mbaya ishapandwa na inamea kwa kasi ya ajabu?Pamoja na changamoto zote ila naombeni tuendelee Tu kuwa wazalendo kwa TAIFA letu..MAKOSA ya viongozi wachache yasifanye tukaichukia nchi nzuri hii yenye mabonde mazuri.
Kuna namna ambavyo kwa sisi tuliozoea amani tulikuwa tunawashangaa wale wananchi wanaoamua liwalo na liwe kumbe mambo yalikuwa yanaanza hivi hivi.KUMBUKA MTEUZI WA WAKUU WA VYOMBO VYA USALAMA NI MTU MMOJA KWA UTASHI WAKE
Mkuu uzalendo utakuwepo sehemu ambapo tayari mbegu mbaya ishapandwa na inamea kwa kasi ya ajabu?
Washapigwa cha juu watasema nini?Dada wa taifa leo katoa hotuba nzito sana..
Inakuwaje familia tena mtoto mmoja anaibagaza nchi hivi? Na vyombo vyetu vya usalama vimerelax tu!
Tutapoteza mara ngapi? Hadi sasa binadamu mwenye akili nchi hii hawezi kuviamini vyombo vyetu vya ulinzi, imefika mahali tunaishi kama wakimbizi kwenye nchi ambayo vitovu vyetu vimezikwa hapa😭😭😭😭Fikiria kama kweli hali ilivyo kwa sasa ukaambiwa tanzania tuna vyombo vya usalama utakubali?
Vyombo vya usalama wanashindwa kumlinda rais aliyeopo madaraka na watu wanamla kichwa kiwepesi sana.
Tuhuma nzito kuhusu viongozi wetu
Tuhuma kuhusu jeshi la ulinzi na ufisadi ndani yake.
Itafika sehemu watanzania wataona ni bora wachore hata ramani kwa adui maana hatutokuwa na imani na vyombo vyetu vya usalama tena.
We're all screwed!
Kwa hali ilipofikia sasa tukipata chama cha upinzani wa kweli tutawanyoosha lakini hawa akina salumu,nyoka makengeza na zito ni ccm B tuEeh Kumbe Kuna Watu Bado Mna IMANI, mi ishapotea Zamani sana
Wazalendo?Ili kundi la vibaka wachache waendelee kutubaka in a broad day light huku tunagugumia na kulia kwa kwikwi?Pamoja na changamoto zote ila naombeni tuendelee Tu kuwa wazalendo kwa TAIFA letu..MAKOSA ya viongozi wachache yasifanye tukaichukia nchi nzuri hii yenye mabonde mazuri.
Tupoteze imani mara ngapi?Fikiria, kama kweli hali ilivyo kwa sasa ukaambiwa Tanzania tuna vyombo vya usalama, utakubali?
Vyombo vya usalama wanashindwa kumlinda Rais aliyepo madarakani, na watu wanampa kichwa kiwepesi sana.
Tuhuma nzito zipo kuhusu viongozi wetu, pamoja na tuhuma kuhusu Jeshi la Ulinzi na ufisadi ndani yake.
Itakuwa hali ya kutisha kiasi kwamba watanzania wataona ni bora wachore hata ramani kwa adui, maana hatutakuwa na imani na vyombo vyetu vya usalama tena.