Kwa hali ilivyo na ikiendelea hivi Watanzania tutapoteza imani na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

Hii nyumba haina mwenyewe ni kama ukoo wa kambale kila moja ana ndevu.
Nahisi kama vile nna hasira sana moyoni asee.
 
Pamoja na changamoto zote ila naombeni tuendelee Tu kuwa wazalendo kwa TAIFA letu..MAKOSA ya viongozi wachache yasifanye tukaichukia nchi nzuri hii yenye mabonde mazuri.
ndege JOHN wewe ni ndege tu, hata yesu alisema, tazama ndege wale, hawalimi wala hawavuni.

Tuache sie binadamu tukomalie nchi yetu, wewe ni ndege hulimi wala huvuni
 
0.......πŸ€•πŸ€•πŸ€•πŸ€•πŸ€’πŸ€’πŸ€’
 
Uzalendo umeisha , TISS ni kweli wanaweza kuwa hawakujua hili? Kama hawakujua ni uzembe wa hali ya juu
 
C.C.M = Chukua Chako Mapema.
 
Uzalendo umeisha , TISS ni kweli wanaweza kuwa hawakujua hili? Kama hawakujua ni uzembe wa hali ya juu
Hata kama bado kuna uzalendo lakn kuna namna mioyo ya hao wazalendo inakufa ganzi
 
Hata mimi uzalendo ushakufa kwa haya yanayotokea ukimuona ndugu au mtu yeyote wanakwepa kodi hata hauumii
Bora tu wakwepe kodi maana hizo kodi zenyewe zinaliwa na watu wachache
 
Kutoka kwenye uzalendo mpaka kwenye ubinafsi ,kwa sasa no bora liende tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…