Kwa hali ilivyo, ndoto yangu ya kuwa rubani itatimia kweli?

Urubani sawa na udereva wa gari tu hata dv 4 unapata nafasi ya kusonea pilot, maana kila kitu utaenda kufundishwa frm scratch, ukifeli mitihani yao ndo utaona ugumu
 
Urubani sawa na udereva wa gari tu hata dv 4 unapata nafasi ya kusonea pilot, maana kila kitu utaenda kufundishwa frm scratch, ukifeli mitihani yao ndo utaona ugumu
Hakika
 

ndugu yangu kama kwenu pesa hakuna itakuwa ngumu .dogo tulisomesha tukatumia zaidi ya milioni 200 mpaka kufikia uwezo wa kuenda boeing zile kubwa na mwisho wa siku tukaambulia jeneza alipata ajari ya ndege ndogo akikaguwa wanafunzi wenzake south africa akiwa chuo .Ila na kupa moyo
 
Doh ilikuwa mwaka gani maana hii kama niliisikia..
Poleni sana
 
Hakuna kitu kinasumbua moyoni kama hujatimiza ndoto yaani ukiwaona watu wa ndoto zako ndiyo unawehuka kabisa.

Bro pambana na hali ya maisha ya sasa yaweke sawa kama ipo ipo tu wakati wako waja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamzungumzia Kelvin mtoto wa beni-bazaa Bukoba my homie au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…