Kwa hali ilivyo ni dhahiri Boniface Jacob atashidwa vibaya sana kwa fedheha uchaguzi wa CHADEMA kanda ya Pwani

Nikuhakikishie jambo moja hujafikia level ya kuniambia Kama JF ni salama Au si salama.

Mimi huwa namjibu mtu kulingana na upuuzi wake,na uliponyesha kutojielewa nikakaa kwa level yako lakini pia ukapwaya.
Kifupi hukujibu hata hoja moja nilyoainisha japo wewe ulijiona umejenga hoja.

Angalizo: Epuka Sana kutoa kashfa kwa watu ikiwa huwezi kuzithibitisha pasi na shaka kuwa Chawa wa CCM haimaanishi utakuwa salama daima.
acha ushirikina gentleman JF ni salama...
uoga wako ndiyo umaskini, jiamini vaa ujasiri...

hata hivyo,
jambo la maana zaid kulingana na hoja ya msingi mezani ni kwamba boniyai anakwenda kukwama vibaya sana uchaguzi wa chadema kanda ya Pwani, hilo ni muhimu sana kulizingatia 🐒
 
una maoni na mtazamo mzuri kumtakia mwingine Baraka..

but ukweli ni kwamba mambo imebadilika kidogo na mwenye ame sense kushindwa, nadhan umeskia kauli ya mtu wa kushindwa kabla ya uchaguzi...

anadai eti hata akishindwa hawezi kuhama chadema, huo ni uthibitisho kwamba tayari ameshindwa kama tu ilivyokua kwa mchungaji msigwa 🐒
Tlaa,aliweka angalizo kuwa hata kama atashindwa hatahama chama,ni ushahidi kuwa uchaguzi wa cdm ni tofauti na ccm ambako kura za kwenye box siyo mhimu Bali inategemea anaye hesabu na anayetangaza,ukweli ni huo hata kama wenyemidomo yao Leo vichwa hawana.
 
msigwa alisema vivyo hivyo lakini,

joto lilivyomzidi uchadema ukamshinda🤣

akajiengua mara moja,
hasa pale alipopewa ushahidi wa kweli kabisa na wafuasi wake wa jinsi rushwa ilivyosambazwa na kutumika kumkaanga na kumefedhesha asishinde uchaguzi ule mwepesi sasa kwake, na hasa alipotajiwa kwamba fulani na Fulani walitumwa na Fulani kusambaza mlungula kudhibiti usishinde....

na hilo likamtia joto zaidi , kitu ambacho boniyai atakumbacho watakapoenda kumkaanga vizuri wajumbe wa kanda ya pwani 🐒
 
labda kama nape na ng'umbi wamo.
 
Wewe nae umeandika kiutopolo sanaa
Sema wazi huyu ni team Mbowe wote hawa wanatakiwa kimkakati wakamzuie Lissu kushinda nafasi ya kugombea Urais ambayo Mbowe anaitaka kwa maslahi yake.Mbowe sio mpinzani.
 
Wewe Tlaatlaah Ni CCM damu, mwamba akishindwa wewe inakuhusu Nini?
Ongea Mambo ya CCM tutakuelewa.
Hizi panic za maccm zinatoka wapi wakati CCM ndio imeshika dola?
 
gentleman mimi ni mwanasiasa mbobevu kwenye masuala ya siasa za vyama, demokrasia, kitaifa na kimataifa..

ni muhimu kuzingatia maoni na mtazamo wangu ambao ni matokeo ya utafiti hali juu ya nafasi halisi ya huyo muungwana kiongozi kwenye uchaguzi huo muhimu sana chadema kanda ya Pwani...

don't panic, ndio uchaguzi ulivyo mwamba anashindwa uchaguzi huo mchana kweupeeee sote tukishuhudia...

siasa za fitna, ubabe, majivuno na rushwa mwisho wake ni uchaguzi huu wa chadema kanda ya Pwani boniyai anakwenda kushindwa vibaya sana uchaguzi huo🐒
 
Wewe nae umeandika kiutopolo sanaa
Sema wazi huyu ni team Mbowe wote hawa wanatakiwa kimkakati wakamzuie Lissu kushinda nafasi ya kugombea Urais ambayo Mbowe anaitaka kwa maslahi yake.Mbowe sio mpinzani.
gentleman,
umeeleza jambo jipya zito mno ndani ya hoja nyepesi sana juu ya kushindwa kwa bonyai uchaguzi wa kanda ya Pwani chadema..

alaaa kumbe ndivyo umpango mkuu ulivyo kwa upande huo? hebu andikia uzi tuone, tujifunze na kufahamu mambo haya muhimu sana katika siasa za ndani ya chadema..

halafu,
mihemko na ghadhabu weka kando gentleman 🐒
 
gentleman mimi ni mwanasiasa mbobevu kwenye masuala ya siasa za vyama, demokrasia, kitaifa na kimataifa..

ni muhimu kuzingatia maoni na mtazamo wangu ambao ni matokeo ya utafiti hali juu ya nafasi halisi ya huyo muungwana kiongozi kwenye uchaguzi huo muhimu sana chadema kanda ya Pwani...

don't panic, ndio uchaguzi ulivyo mwamba anashindwa uchaguzi huo mchana kweupeeee sote tukishuhudia...

siasa za fitna, ubabe, majivuno na rushwa mwisho wake ni uchaguzi huu wa chadema kanda ya Pwani boniyai anakwenda kushindwa vibaya sana uchaguzi huo🐒
Assuming ameshindwa, CCM mnafaidikaje ?
 
Back
Top Bottom