Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #61
acha ushirikina gentleman JF ni salama...Nikuhakikishie jambo moja hujafikia level ya kuniambia Kama JF ni salama Au si salama.
Mimi huwa namjibu mtu kulingana na upuuzi wake,na uliponyesha kutojielewa nikakaa kwa level yako lakini pia ukapwaya.
Kifupi hukujibu hata hoja moja nilyoainisha japo wewe ulijiona umejenga hoja.
Angalizo: Epuka Sana kutoa kashfa kwa watu ikiwa huwezi kuzithibitisha pasi na shaka kuwa Chawa wa CCM haimaanishi utakuwa salama daima.
uoga wako ndiyo umaskini, jiamini vaa ujasiri...
hata hivyo,
jambo la maana zaid kulingana na hoja ya msingi mezani ni kwamba boniyai anakwenda kukwama vibaya sana uchaguzi wa chadema kanda ya Pwani, hilo ni muhimu sana kulizingatia 🐒
