Kwa tunaofuatilia maisha ya mwanadamu, tunajua pasi na shaka kuwa dhambi ni asili kwa wanadamu wote. Na hiyo ndiyo sababu kila siku tunafundishwa kutenda mema.
Ukiangalia yanayoendelea nchini na duniani kwa ujumla, utaona kuwa dhambi inashamiri kwa kasi kubwa sana kana kwamba imemwagiwa petroli.
Kwa kuwa dhambi ni asili yetu, na ukizingatia kuwa walio na mamlaka ya kukemea dhambi wengi wao nao ni watenda dhambi, hakuna wa kumkemea mwenzake. INASIKITISHA!!!
Tufanye nini sasa?