MATHAYO 24
32 “Jifunzeni kutoka kwa mtini, kwamba, matawi yake yakianza kuchipua, mnafahamu kwamba kiangazi kimekaribia.
33 Basi, pia mkiona dalili hizi, fahamuni kwamba amekaribia kurudi, na yu karibu na mlango.
34 Nawaambieni kweli, hakika kizazi hiki hakitapita kabla mambo haya hayajatokea.
35 Mbingu na dunia zitatoweka, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.”
Nukuu.
Nawatakis Sabato njema.