Kwa hali ilivyo sasa na mpenzi wako, ikitokea amefungwa jela, unamsubiria au unasonga mbele na mwingine?

Mmmh haya ngoja tusubiri wa kutupenda kiasi hiki
 
Samaleko
 
Unapata msaada wa kibinadamu afu ufikirie twice?
 
Inategemea.
Kwa sisi wanaume ni wa cha
che sana watakao vumilia il wanawake nao ni hivyo hivyo kwa hiyo inategemea na ntu na ntu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…