Kwa hali ilivyo sasa na mpenzi wako, ikitokea amefungwa jela, unamsubiria au unasonga mbele na mwingine?

Kwa hali ilivyo sasa na mpenzi wako, ikitokea amefungwa jela, unamsubiria au unasonga mbele na mwingine?

Attachments

  • img_2_1741262505205.jpg
    img_2_1741262505205.jpg
    36.8 KB · Views: 1
Nini maana ya upendo?

Kama maana ya kweli ya upendo iko ndani yako then hauwezi ukajouliza hillo swali

Ila kama ulichukuana chukuana nae basi hata miezi 6 utaaona ni mbali sana.

So my point is, swali kama hili atauliza mtu ambaye hakupendi ndani kiundani toka kwenye uvungu pembezoni shimoni kwenye kona ya moyo wako.
Mmmh haya ngoja tusubiri wa kutupenda kiasi hiki :Sadge:
 
Nini maana ya upendo?

Kama maana ya kweli ya upendo iko ndani yako then hauwezi ukajouliza hillo swali

Ila kama ulichukuana chukuana nae basi hata miezi 6 utaaona ni mbali sana.

So my point is, swali kama hili atauliza mtu ambaye hakupendi ndani kiundani toka kwenye uvungu pembezoni shimoni kwenye kona ya moyo wako.
Samaleko
 
Ikitokea kawekwa ndani miaka mitano na kuendelea, vipi unamsibiri au ndiyo fursa yako ya kuachana bila lawama. Kwa wanandoa, mwenza wako kufungwa ni sababu tosha kwa mujibu wa sheria ya kuomba talaka.

Tuambie, unasubiri au ndiyo kwaheri ya kuonana.

View attachment 3261563
Inategemea.
Kwa sisi wanaume ni wa cha
che sana watakao vumilia il wanawake nao ni hivyo hivyo kwa hiyo inategemea na ntu na ntu
 
Back
Top Bottom