kwa hali, ni wazi vyombo vingi vya habari vitaichukia Redio Imaan na watangazaji wake

Mkuu naona umeamua kuleta mipasho chezea redio Imaan mtakuja na kila uzushi...saizi wanaandaa na gazeti Imaan news jiandae kujinyonga..
 
Radio Imani Mola iwezeshe idumu hata mwisho wa dahari kwani ni msaada mkubwa kwa jamii na inatupatia habari zakweli kabisa na uhakika. Radio Iman ldhaatul Iman( tunawatoa watu katika kiza na kuwapeleka katika nuru kwa idhini ya Mwenyezi Mungu).

hapo nkisikiaga nilipo pa bold nasikia raha sana...eti bi idhini rabbi
 
wakiristo tanzania ukisema chadema hovyo wee mchochezi, madrasa.. ukisema baya la uislaam ndo unafaa...
 
Kipindi chao kikuu cha uchochezi kinaitwa Dokezi kipo saa T kamili asubuhi chini ustadhi Balozi na shekh mchochezi mohamed issa

Naona upo bize kuwasikiliza wachochezi, vipi unakusnya ushahidi ?
 
hapo nkisikiaga nilipo pa bold nasikia raha sana...eti bi idhini rabbi

............naam ni Allah pekee ndie mwenye kujalia jambo kuwa na likawa ! Sisi tunapanga mipango, na Yeye ni mjuzi wa mipango !
 
Umejuaje binafsi nikiwa kama wakili nimeshaandaa vielelezo vyangu na nitahakikisha radio imaan inafungiwa believe me
Naona upo bize kuwasikiliza wachochezi, vipi unakusnya ushahidi ?
 
Unaambiwa 'usipoisikia habari kupitia Redio Imaan tia shaka'
 
Kipindi chao kikuu cha uchochezi kinaitwa Dokezi kipo saa T kamili asubuhi chini ustadhi Balozi na shekh mchochezi mohamed issa

Masikio yako yana matege?Kipindi kinaitwa 'KIDOKEZO CHA LEO'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…