Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Kweli hii redio kiboko
Nilisikiliza siku moja waislam wanahimizwa wasishabikie vilabu vya manchesta na senali na epl na ligi zote za ulaya wala brazili kwa ujumla maana ni za makafiri
Tena wakadai eti unakuta brazili inacheza na saudia unakuta muislam mzima anashabikia brazili wakati karibu wote ni rc na makafiri unaacha kushabikia saudia wakati wote ni umati wa mohd
Yaani hakuna kushabikia nba wa roger federal maana ni makafiri
Hakuna kushabika usain bolt wala tyson gay maana ni makfiri
Hakuna kushabikia man paciao wala mywhether maana ni makafiri
Yaani nilichoka, ndio maana nasema hii radio ni kiboko
Mkuu naona umeamua kuleta mipasho chezea redio Imaan mtakuja na kila uzushi...saizi wanaandaa na gazeti Imaan news jiandae kujinyonga..