Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

Captain A

Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
67
Reaction score
163
Kuna kijana mmoja msomi hapa mtaani kwetu alipata fursa ya kwenda kufanya kazi kwenye kiwanda kimoja kikubwa nchini marekani, baada ya kufanya maandalizi ya kwenda safari yake alilazimika kufanyiwa vipimo vya afya ikiwemo HIV test.

Alipopimwa alikutwa Positive, ni takribani mwezi sasa tangu apime kijana huyo ambaye alikuwa ni handsome kwa muonekano wa mwili wake kwa sasa amekuwa zaidi ya babu kizee, amekonda amebaki mifupa na kutembea kwake kwa shida.

Nashindwa kuelewa ni kitu cha ghafla kilichompata kijana huyu mpaka kuwa na hali hiyo, anyway, na kwa niliyoyaona sitashawishika kupima Ukimwi bora tu niendelee kuishi kwa matumaini.

NB :Sishawishi wengine wasipime huo ni msimamo wangu tu.

Tupunguze uasharati jamani Ukimwi bado upo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya condom kupasuka tukiwa tunagegedana nikamwambia tukapime akakubali alionyesha hofu lakn alijitahidi kuificha.

Tukaenda wote tulipopimwa tukatoka nje kusubiri majibu. Baada ya dakika 20 akaitwa na kuchukuliwa damu mara ya pili.

Muda wa kupewa majibu ukafika. Kweli bhana kumbe anaishi na maambukizi ya VVU.

Nikaeleza mbivu na mbichi nikapewa PEP. Nikazimeza kwa mwezi Mzima. Dawa zile ni kali mno, zinalevya mno na kuchosha. Ndoto za maruweruwe ya kutisha.

Nilipomaliza dawa nikaenda CTC pale Amana. Nikapima Nikaambiwa sina maambukizi. Nikakaa mwezi mmoja nikapima tena nikaambiwa sina.

Nimerudi tena CTC siku ya 80 ( miezi 2 na siku ishirini) Baada ya exposure majibu ni negative. Nina kila sababu ya kukushukuru MUNGU. Maana nimepitia mtihani mgumu mno asee.

Yule mwanamke huwezi kumdhania kabisa. Tena ni mnene na ana kalio la haja linaloweza kukudanganya. Kumbe ndani ameungua.
---------------------------------------------------------------------------------
PEP | HIV Basics | HIV/AIDS | CDC

PEP ni ARV's za kawaida ila hizi humezwa kila siku kwa siku 28 tu.
 
Kitu cha kwanza cha kuzingatia majibu yakiwa +ve ni kuwa nani unashare nae hiyo information. Wengi wanapanic na kuanza kutafuta huruma kwa watu matokeo yake unakuwa gumzo kwenye jamii

Fikiria hiyo information iwe kama tooth paste ukishaitoa huwezi kuirudisha tena kwenye tube basi wanaopaswa kufahamu wawe wale wanaohitaji kujua
 
Ndiyo maana unapopima HIV na kukutwa +ve unatakiwa kupata counselling of life a way forward.
Siku hizi hamfanyi aisee zamani ilikuwa kabla ya kupima unapewa counselling ya maana na kabla ya kupewa majibu unafanyiwa counselling juzi nmeenda hospitali Dr kaniandikia tu kipimo cha HIV kama cha malaria vile simple bila hata kuniuliza kama niko tayari kupima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi hamfanyi aisee zamani ilikuwa kabla ya kupima unapewa counselling ya maana na kabla ya kupewa majibu unafanyiwa counselling juzi nmeenda hospitali Dr kaniandikia tu kipimo cha HIV kama cha malaria vile simple bila hata kuniuliza kama niko tayari kupima

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakati anakupa majibu ilikuwaje?

-Ndumilakuwili-
 
Siku hizi hamfanyi aisee zamani ilikuwa kabla ya kupima unapewa counselling ya maana na kabla ya kupewa majibu unafanyiwa counselling juzi nmeenda hospitali Dr kaniandikia tu kipimo cha HIV kama cha malaria vile simple bila hata kuniuliza kama niko tayari kupima

Sent using Jamii Forums mobile app
Mara nyingi kabla ya kupima wanaangalia na strength yako ndiyo maana dr. anakuuliza are you sure you want to do this? Na kwanini unataka kupima haya yote ni kuona uwezo wako wa kuhimili dude likishaamshwa.

majibu yakitoka +ve lazima upate nurse atakaekupa counselling kabla hujakwenda nyumbani
 
Mara nyingi kabla ya kupima wanaangalia na strength yako ndiyo maana dr. anakuuliza are you sure you want to do this? Na kwanini unataka kupima haya yote ni kuona uwezo wako wa kuhimili dude likishaamshwa.

Majina yakitoka +be lazima upate nurse atakaekupa counselling kabla hujakwenda nyumbani
Dr hivi umenielewa mimi sikwenda kupima hayo makitu nilikuwa tu naumwa Dr kaniuliza tu mara ya mwisho umepima lini HIV nikamwambia nimepima miaka kadhaa iliyopita, kaniandikia tu bila hata kuniuliza kama niko tayari au la

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom