Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Hii ni kali, mkuu Mimi si dr. Siku hizi wana jaribu kupima HIV kwa kila mgonjwa Huku kwetu hasa zile area ambazo niDr hivi umenielewa mimi sikwenda kupima hayo makitu nilikuwa tu naumwa Dr kaniuliza tu mara ya mwisho umepima lini HIV nikamwambia nimepima miaka kadhaa iliyopita, kaniandikia tu bila hata kuniuliza kama niko tayari au la
Sent using Jamii Forums mobile app
high risk ingawa je mgonjwa anaulizwa kwanza