Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

Kuna sababu mbalimbali hupelekea pia mtu kuambukizwa ngoma hata kama unatumia kinga..mfano mtu umetoka ku shave sirini af unaenda kurukia,hujui kua yale maj maj yakirukia kwenye pale umeshave na umejikata uwezekano wa kuambukizwa upo,.pia vidonda vya mdomo,mtu una vidonda lakin unaenda chumvin au unapiga mate ya hatar,unategemea nin,..mtu umejikata vidolen,bado unapima oil.
 
Hata kama unajiamini vp. Ukienda kupima lazma upatwe na tumbo la kuhara unapo subiri majibu. Wengi tunajitunza sana njia tunazopita ila bana acheni kupima lile dude sio masihara.

Sabab kuna totoz nyingi sana zinaita zinamvuto hatari ila 65% to 70% of them unakuta washaungua.
 
Hizi lugha ni moja ya chanzo cha watu kukataa kupima na hata wakikutwa + wakaja kusikia lugha kama hizi ndio mwanzo wa kufa moyo.

Tatizo sio kupima na wala tatizo sio huu ugonjwa , tatizo ni watu wanauchukuliaje huu ugonjwa!
Unataka asemaje,Wee huu ugonjwa unauona wa kawaida eeh,..huu ugonjwa ni balaa
 
Targert ya WHO ni kuwa ifikapo 2020 kila mwathirika awe kwenye tiba mpaka sasa hivi Sweden imaongoza kufika lengo hilo
Ni muhimu sana kwa kila hospitali kuweka utaratibu wa lazima kwa kila mgonjwa anayefika kutibiwa apimwe Ukimwi kwanza!
 
Hata kama unajiamini vp. Ukienda kupima lazma upatwe na tumbo la kuhara unapo subiri majibu. Wengi tunajitunza sana njia tunazopita ila bana acheni kupima lile dude sio masihara.

Sabab kuna totoz nyingi sana zinaita zinamvuto hatari ila 65% to 70% of them unakuta washaungua.
Sio kwa kunichekesha huko mkuu. Au unakuta mtu ameenda mwenyewe kupima wakati wa kusubiri majibu unasepa lol.
 
Kuna kijana mmoja msomi hapa mtaani kwetu alipata fursa ya kwenda kufanya kazi kwenye kiwanda kimoja kikubwa nchini marekani, baada ya kufanya maandalizi ya kwenda safari yake alilazimika kufanyiwa vipimo vya afya ikiwemo HIV test, alipopimwa alikutwa Positive, ni takribani mwezi sasa tangu apime kijana huyo ambaye alikuwa ni handsome kwa muonekano wa mwili wake kwa sasa amekuwa zaidi ya babu kizee, amekonda amebaki mifupa na kutembea kwake kwa shida, nashindwa kuelewa ni kitu cha ghafla kilichompata kijana huyu mpaka kuwa na hali hiyo, anyway, na kwa niliyoyaona sitashawishika kupima Ukimwi bora tu niendelee kuishi kwa matumaini. NB :Sishawishi wengine wasipime huo ni msimamo wangu tu.
Tupunguze uasharati jamani Ukimwi bado upo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio kupunguza bali ni kuacha kabisa huo uasherati kama unataka oa, au olewa tulien ndan
 
Baada ya condom kupasuka tukiwa tunagegedana nikamwambia tukapime akakubali alionyesha hofu lakn alijitahidi kuificha.

Tukaenda wote tulipopimwa tukatoka nje kusubiri majibu. Baada ya dakika 20 akaitwa na kuchukuliwa damu mara ya pili.

Muda wa kupewa majibu ukafika. Kweli bhana kumbe anaishi na maambukizi ya VVU.

Nikaeleza mbivu na mbichi nikapewa PEP. Nikazimeza kwa mwezi Mzima. Dawa zile ni kali mno, zinalevya mno na kuchosha. Ndoto za maruweruwe ya kutisha.

Nilipomaliza dawa nikaenda CTC pale Amana. Nikapima Nikaambiwa sina maambukizi. Nikakaa mwezi mmoja nikapima tena nikaambiwa sina.

Yule mwanamke huwezi kumdhania kabisa. Tena ni mnene na ana kalio la haja linaloweza kukudanganya. Kumbe ndani ameungua.
homgera sana mdau, ni mungu tu kakuepusha,yupo mmoja namfahamu ana mwili balaa na ana tako uspime lakin kaathirika, na hao nyeshi dalili ya kuumwa hilo gonjwa
 
Baada ya condom kupasuka tukiwa tunagegedana nikamwambia tukapime akakubali alionyesha hofu lakn alijitahidi kuificha.

Tukaenda wote tulipopimwa tukatoka nje kusubiri majibu. Baada ya dakika 20 akaitwa na kuchukuliwa damu mara ya pili.

Muda wa kupewa majibu ukafika. Kweli bhana kumbe anaishi na maambukizi ya VVU.

Nikaeleza mbivu na mbichi nikapewa PEP. Nikazimeza kwa mwezi Mzima. Dawa zile ni kali mno, zinalevya mno na kuchosha. Ndoto za maruweruwe ya kutisha.

Nilipomaliza dawa nikaenda CTC pale Amana. Nikapima Nikaambiwa sina maambukizi. Nikakaa mwezi mmoja nikapima tena nikaambiwa sina.

Yule mwanamke huwezi kumdhania kabisa. Tena ni mnene na ana kalio la haja linaloweza kukudanganya. Kumbe ndani ameungua.
Hayo yashawah kunitokea.
Yan saiv naishi kama boya mtaani madada wananipapalikia ila hata hiyo ham sina

Pep Zinakera yan mdomo unakua haupati ladha kizunguzungu ndo usiseme

Halafu cha kushangaza docta alinambia hizo pep hazina tofauti na arv sasa nikawa nawaza mimi nimetumia mwezi tu nipo hoi vipi kwa hao wanaotumia maisha yao yote? Ukipata jibu hapo lazima jogoo alale hata kama mbele yako kapita chura
 
Ni kweli udhaifu wetu sisi wanaume ni kwenye kupima mtu atatoa sababu nyiingi ili kukuzungusha tu.
Mkuu nimekumbuka story moja inayohusu hizo mambo za kupima. Nina rafiki yangu aliwahi kuniambia yeye na mpenzi wake walipanga kwenda kupima kilichotokea wameshapima wanasubiri majibu mwanaume akamwambia mdada ngoja nikanunue maji nakuja huwezi amini anasema hadi wanaitwa wachukue majibu huyo mpenzi wake hajarudi katika kuanza kumtafuta anamkuta kwenye kituo cha daladala ndio akaanza kumrudisha kwenda kuchukua majibu.

Ila wanaume punguzeni uoga jamani daah.
 
[emoji23] [emoji23] ebwana huyo hakuwa serious
 
Kupima na kujua Afya ni vyema zaidi. Ila kuna baadhi ya Madaktari wetu hapa Tanzania hawana weledi wa kazi zao. Moja ni hilo suala zima la kutoa ushauri nasaha na la pili ni hapo inapogundulika umeathirika Daktari huyo huyo ikitokea siku mmekutana kwa mfano Break Point au Triple 7 na yuko na watu wanapata mbili tatu kuna nafasi kubwa sana akawaelezea hali yako kiafya (hili nimelishuhudia). Kuna mshikaji ni Daktari bingwa,huwa akikuandikia prescription ya kaswende lazima aitoe mezani wakati wa kirauli...Dah!
Tatizo ni Stigma katika jamii..lakini UKIMWI siku hizi ukifuata masharti na kuzingatia dozi una nafasi ya kuishi maisha yako mpaka hapo Mungu atakapokuita nyumbani kwake.
 
Mkuu nimekumbuka story moja inayohusu hizo mambo za kupima. Nina rafiki yangu aliwahi kuniambia yeye na mpenzi wake walipanga kwenda kupima kilichotokea wameshapima wanasubiri majibu mwanaume akamwambia mdada ngoja nikanunue maji nakuja huwezi amini anasema hadi wanaitwa wachukue majibu huyo mpenzi wake hajarudi katika kuanza kumtafuta anamkuta kwenye kituo cha daladala ndio akaanza kumrudisha kwenda kuchukua majibu.

Ila wanaume punguzeni uoga jamani daah.
Kuna kaka alidate na mdada mpaka wakafikia kwenye "come and we stay" wote ni waajiriwa sasa kaka alipata safari ya kikazi anarudi nyumbani kupack nguo. Aliona begi la mdada litamtosha akaamua kulichukua na kutoa vitu ndipo alipokutana na furushi la ARV's.

Mkaka alichanganyikiwa alivunja vitu ndani ya nyumba alilia baada ya hapo alichukua kila kilicho chake na kusepa
 
Back
Top Bottom