Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

Acha kulia lia mtoto wa kiume si ulitaka mwenyewe
 
Ndo hapo sasa...yaani nafikiria mtu amepimwa kwa style hiyo then anakutwa positive inakuwaje. Tena bora wewe uliomba mwenyewe kupimwa tunaweza kusema ulijiandaa kisaikolojia kwa namna fulani lakini hebu fikiria kwa mtu ambae hakuwa na hilo wazo tena kapima kimyakimya bila hata kuulizwa kama yupo tayari au la

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie acheni mambo yenu. Ukimwi kwa sasa is no longer a threat yaan kama kisukari ama magonjwa mengine tu. Maana mtu una miaka 30 ukiambukizwa leo unakuwa na miaka hadi 30 mbele ya kuishi endapo tu utafuata masharit. So sio ugonjwa ukiupata ndo unaanza kujiuliza kufakufa. Inshort mm siogopi kupima yaan hata nikiupata ni sawa na maralia vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alpma ili aende marekani, so alpma bla kupata ushauri nasaha, hakua amejiandaa kwa matokeo +ve/-ve, alkua amejiandaa kwenda marekani hapo ndo shda ilpoanzia. Stress za kutokwenda marekani + kukutwa na HIV + watu washajua anaenda marekan ndo zmepelekea yote hayo. Akitulia akikubali hali atarudsha afya yake.
 
Eti sio threat are you serious? Mfumo wako wa maisha unabadilika, kama hujaingia kwenye ndoa ndo kwa heri huwezi kuoana na yule unayemtaka lazima utafuta mwenye hali kama yako pia ukumbuke kwenye jamii zetu bado unyanyapaa upo sana tu lazima kuna mambo utayakosa tu kwa sababu hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli wenye hiv wanaoa nankuolewa na wengine wanaoana nanwatu wasio na waambukizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hupima mara kwa mara ila kila nikiingia kupima nanuna sana na roho inauma, ninapopewa majibu yako safi furaha hukaa kama wiki wakati huo sigegedi.

Baada ya wiki tu nataman kugegeda tena kavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kwa kupitia mtihani mgumu namna hii ,ngoma kwa mwanamme ni ngumu kidogo kupata kulinganisha na mwanamke labda uwe na michubuko bila kwa mwanamke ni rahisi kutokana na maumbile yao hivyo huwaletea shida .

Mleta mada nimemfurahia anasema tuache ngono nafikiri ndio point ya msingi hapo kuna haja ya kuwa makini na hivi vitu .HIV/AIDS is real and existing take care .

"Never stop learning because life never stop teaching"
 
Mi huwa napima hata siogopi aisee coz najua ni ugonjwa tu kama maralia. Naogopa vitu kamankansa, kipindupindu, maralia nk. Ilanukimwi sio ugonjwa ndugu. Tena unaweza usimeze irv ukaishinmuda mrefu sana. Maana ukimwi ninupungufu wa kingabmwilini. So unaweza ukamantain cd4 kwankutumia lishe tu bass na ukafanikiwa kuishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank you Mkuu
 
Mimi napenda ma Dr kma hao ila ukianza kunionea huruma na kuanza kunipa sijui ushauri Ndio unanipa mawazo kabisa, inabidi Dr awe straight forward habari za kuanza kuzunguka huwa sipendi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…