Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

Ndiyo maana unapopima HIV na kukutwa +ve unatakiwa kupata counselling of life a way forward.
Aslimia kubwa ya watu wanaogunduliwa na huu ugonjwa huwa wanakufa kwa mshituko, mawazo na kukosa matumaini, hasa huwatokea watu waliokuwa na dream kubwa za mbeleni.
 
Aslimia kubwa ya watu wanaogunduliwa na huu ugonjwa huwa wanakufa kwa mshituko, mawazo na kukosa matumaini, hasa huwatokea watu waliokuwa na dream kubwa za mbeleni.
Counselling ni muhimu pia kutokutangaza. Ilianza kunyoshewa vidole inasonobesha sana
 
Ukiwa HIV+ kila unapoonana na daktari ni muhimu kumfahamisha kama hakufahamu. Matatizo yako yanaweza kuwa yanasababishwa na hali yako ni rahisi yeye kukusaidia.
 
Mkuu wiki iliyopita tumemzika baba mdogo wangu baada ya kuishi na mwanamke miaka sita kumbe kaathirika pasipo yeye kujua. Alipoenda hospitali kupima alifariki siku ya pili baada ya majibu kutoka tena bila hata kupungua mwili.
Ohoooo!!!pole sana mkuu.

-Ndumilakuwili-
 
Jamani jaman jaman, HIV hata km umetoka nyumban unajiamin ukifika pale lazma ukalie Nusu kiti, Wakat nipo advance best yangu sijui usiku aliota nn, asubuh akanikurupusha twende tukapime m sikua na wasiwasi kbsa, tukaenda kufika pale yy ndo alitakiwa atangulie yan ile alieko ndani anafungua mlango atoke jamaa kusikia tu mlango unaguswa Akazima, tukaanza kupepea. Alipozinduka akauliza mshanipima tukamwambia bado tunasubiria idhini yako. Akasema mmefanya kosa kubwa sana maaana Huu uamuzi hautokuja kutokea tena maishani, manesi wote hoii. Mm nakujiamin kwangu kwan nilikubali, tukarudi nilikuja kupima siku nyingne kbsaaaa. Asikuambie mtu kupima HIV mm naita ni moja ya kipimo cha ujasiri wa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True nilpokuwa mjamzito nimeingia kwanza wapo watatu wanaongea zao kanichukua damu kama Malaria hajaniambia chochote nkashangaa hivi huyu ananipima HIV au nin mbona anachukulia poa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

-Ndumilakuwili-
 
Ndoto yake kubwa ilikuwa Kwenda Marekani, na Kwa Kuwa ukiwa positive huwezi kupewa Visa ya kwenda Marekani, ndoto imepotea na msongo wa mawazo juu, namshauri abadilishe mazingira Kwa miezi 2 aende mkoa mwingine ili asikutane na watu aliowazoea . Hali yake itarejea kuwa ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Zinapatikana wapi hizo SD bioline? naomba ni pm
 

Hizo PEP zinapatikana hospitali zipi?
 
Hizo PEP zinapatikana hospitali zipi?
Ukienda hospital yeyote ambayo kuna CTC basi ukijieleza na pia iwe masaa 72 hayajapita tangu upate exposure watakupima wakikukuta negative watakupa pep za kumeza kwa siku 28
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…