Mimi nimeachana Na mwanaume kisa kumwambia kupima Jamani alikuwa mkali ooooh kupima ni mpaka moyo ujiridhie nikaona hapa nikusepa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie acheni mambo yenu. Ukimwi kwa sasa is no longer a threat yaan kama kisukari ama magonjwa mengine tu. Maana mtu una miaka 30 ukiambukizwa leo unakuwa na miaka hadi 30 mbele ya kuishi endapo tu utafuata masharit. So sio ugonjwa ukiupata ndo unaanza kujiuliza kufakufa. Inshort mm siogopi kupima yaan hata nikiupata ni sawa na maralia vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukienda hospital yeyote ambayo kuna CTC basi ukijieleza na pia iwe masaa 72 hayajapita tangu upate exposure watakupima wakikukuta negative watakupa pep za kumeza kwa siku 28
Amekudanganya SD Bioline hiki ni miongoni mwa vipimo accurate and efficient kuwahi kutumika kina uwezo wa kudetect maambukizi ndani ya siku 28 baada ya virusi kuingia mwilini kwa asilimia 96%. Tofauti na vipimo vya hapo awali ambavyo vinaweza kudetect HIV baada ya siku 90 kwa asilimia 95%.
Hopefully umenielewa! Ignore excuse za jamaa nenda hospital kacheki afya mater of fact almost hospitali zote za umma na binafsi zina vipimo hivi hivi kwa sasa.
"Ni hatari kupima ukimwi, ila ni hatari zaidi kutopima ukimwi "
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoto yake kubwa ilikuwa Kwenda Marekani, na Kwa Kuwa ukiwa positive huwezi kupewa Visa ya kwenda Marekani, ndoto imepotea na msongo wa mawazo juu ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hospital yeyote kubwa ya mkoa au ya wilaya ina CTC..Ok unaweza kuzitaja hizo hospital?
Hivi kwa kawaida virusi huwa detected baada ya siku ngapi toka kuingia mwilini?
VVU huambukiza iwapo kuna mwingiliano wa damu. Kama una kidonda kikagusa damu yenye maambukizi basi utapata.Mh eti mwanaume akichezea papuchi kwa kidole mpaka ikachubuka anaweza kukuambukiza VVU? but hamjakiss wala kunyonyana sehemu yeyote na mlitumia condom ku sex?
Hospital yeyote kubwa ya mkoa au ya wilaya ina CTC..
Inategemea kulingana na aina ya kipimo, rapid test Mfano SD Bioline HIV 1&2 ambacho ndio hutumika zaidi hapa tz kinagundua maambukizi kuanzia siku ya 21, lakn ni vizuri kupima baada ya siku 28 Kwani kimeonyesha uwezo wa kugundua 95% ya maambukizi.
Vipo vipimo vya 4th generation Elisa au rapid test combo ambayo ina uwezo wa kudetect both antibody and antigen huchukua wiki 2 kuweza kudetect maambukizi, PCR hudetect kuanzia siku ya 10..
VVU huambukiza iwapo kuna mwingiliano wa damu. Kama una kidonda kikagusa damu yenye maambukizi basi utapata.
Iwapo amekuchubua na yeye kwenye kidole ana kidonda halafu vidonda vikagusana basi utapata. La kama hana kidonda hauwezi kupata. Mate hayaambukizi VVU kwani mate yana enzyme wanao inhibit virus. Hivyo kunyonyana denda kakuambukizi.
Naomba msaada wa jibu wa swali hili, hivi ni kweli uki sex na mwathirika mwenye HIV +ve ambaye anatumia dawa ya ARV, wewe mwenye +ve hauwezi kuambukizwa?Lakini sasa una amani moyoni
Ni mpaka awe na undictectable statusNaomba msaada wa jibu wa swali hili, hivi ni kweli uki sex na mwathirika mwenye HIV +ve ambaye anatumia dawa ya ARV, wewe mwenye +ve hauwezi kuambukizwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa jibu...mwishoni kabisa mwa swali langu nilimaanisha wewe mwenye -ve hauwezi kuathirika?Ni mpaka awe na undictectable status
Kama muathirika ana status hiyo niliyosema na anatumia dawa asiyemwathirika hawezi kupata madhara lakini pia ni muhimu khudhuria kitengo pamoja na kupata ushauri nasahaAhsante kwa jibu...mwishoni kabisa mwa swali langu nilimaanisha wewe mwenye -ve hauwezi kuathirika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kijana mmoja msomi hapa mtaani kwetu alipata fursa ya kwenda kufanya kazi kwenye kiwanda kimoja kikubwa nchini marekani, baada ya kufanya maandalizi ya kwenda safari yake alilazimika kufanyiwa vipimo vya afya ikiwemo HIV test.
Alipopimwa alikutwa Positive, ni takribani mwezi sasa tangu apime kijana huyo ambaye alikuwa ni handsome kwa muonekano wa mwili wake kwa sasa amekuwa zaidi ya babu kizee, amekonda amebaki mifupa na kutembea kwake kwa shida.
Nashindwa kuelewa ni kitu cha ghafla kilichompata kijana huyu mpaka kuwa na hali hiyo, anyway, na kwa niliyoyaona sitashawishika kupima Ukimwi bora tu niendelee kuishi kwa matumaini.
NB :Sishawishi wengine wasipime huo ni msimamo wangu tu.
Tupunguze uasharati jamani Ukimwi bado upo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajee kwa kutumia kipimo cha Unigold ukimwi waweza gundulika kwa kipindi gani na kinafanya kazi kwa uhakika wa asilimia ngapi?Kama muathirika ana status hiyo niliyosema na anatumia dawa asiyemwathirika hawezi kupata madhara lakini pia ni muhimu khudhuria kitengo pamoja na kupata ushauri nasaha
Mkuu Mungu ni mwema, tuwe makini tuache dhambi tuoeMajuzi niliamua kupima HIV mwenyewe kwenye SD bioline nikiwa kichakani ila kwa njia nizilizopita na Haya majibu ya negative nimeamini Yesu anaponya...na mungu ni jehova Rapha...mungu ni mponyaji. Loh! Sina ukimwi!? Sidhini tena hovyo hovyo.
Pia tatizo huwa lina nguvu ukiwa unalitazama na kulipa nafasi just ignore it and live your life, we will all die someday, ndege haanguki akiwa angani sababu yuko comfortable lakini mtu akigundua yuko angani lazma ataanguka maana anapanick na kupoteza comfortability...if you are positive stay positive.
View attachment 566563
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeamini Ukimwi ni Ukimwi hata wakushauri vipi,yaani ule ushauri unaisha pale tu unapovuka geti la HospitalNdiyo maana unapopima HIV na kukutwa +ve unatakiwa kupata counselling of life a way forward.
πππNimeamini Ukimwi ni Ukimwi hata wakushauri vipi,yaani ule unaisha pale tu unapovuka geti la Hospital