Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

Hii ni kali, mkuu Mimi si dr. Siku hizi wana jaribu kupima HIV kwa kila mgonjwa Huku kwetu hasa zile area ambazo ni
high risk ingawa je mgonjwa anaulizwa kwanza
 
Kabisa siku hizi hawatoi ushauri zaidi ya kuambiwa kuwa makini au uje umlete na mpenzi wako
 
Kwa maelezo yako nimegundua hili tatizo bado lipo kwa speed kubwa ndo maana sasa hivi hata ukienda unakajipu dokta atakuandikia tu upime HIV.

-Ndumilakuwili-
 
Dr hivi umenielewa mimi sikwenda kupima hayo makitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi lugha ni moja ya chanzo cha watu kukataa kupima na hata wakikutwa + wakaja kusikia lugha kama hizi ndio mwanzo wa kufa moyo.

Tatizo sio kupima na wala tatizo sio huu ugonjwa , tatizo ni watu wanauchukuliaje huu ugonjwa!
 
Targert ya WHO ni kuwa ifikapo 2020 kila mwathirika awe kwenye tiba mpaka sasa hivi Sweden imaongoza kufika lengo hilo
Kwa mtazamo wako kasi ya hili tatizo kwa hapa Tanzania linapungua au ndio inaongezeka?

-Ndumilakuwili-
 
Mm nilipima majuz kwa lazima kwa kua nilikua natakiwa kufanyiwa operation. Ila ni kazi kweli kweli kusuburi majibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulitaka wakuandae
 
Mimi nawashangaaga wadada wanaoshawishika kirahisi wakati jibu rahisi ni kumwambia tu mwanaume nimeathirika uone kama atakufata tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo inategemea aisee. Kwa mfano kimtaani mtaani ndio mwanamke anamwambia hivyo mwanaume ujue ndio amejiharibia na hatofuatwa tena. Kwanza kutongozwa kwenyewe atakusikia kwenye bomba.
 
Mapokeo ya hiyo taarifa ndio yamemfanya hivo


Kupima afya ni kuzuri sababu unakua nauhakika na afya yako na u azidi kua makini


Madame S
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…