Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

[emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Mimi sipimi hatari kupima ukimwi Kabla ya kupewa majibu miguu ina tetema alafu awakupi ushauli wanakwambia uko poa
 
Bado elimu ni duni hata hao walioanza tiba wengine wanaacha ninachoona tatizo ni stigma
Tatizo watu wanaacha doz kwa sababu Ya kwenda kuunga folen kwenye vituo ni kuchoreshana ingetakiwa serekal waangalie hil kama mtu ameanzishiwa dozi kwa nn asipewe mzigo wake wa mwaka au miez sita kuliko kupewa za mwez mwezi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninakubaliana na wewe, wagonjwa wengine wana discipline sana ya kunywa dawa (adherence), sehemu nyingine hawa wanaonwa na daktari mara moja kwa mwaka au kila baada ya miezi sita. Kwa kuepuka shari, wengine wanakwenda clinic mbali nje ya mji ili kuepuka kukutana na watu unaofahamiana nao. Lakini maisha hayakupaswa kuwa hivyo, usiri wa mgonjwa ulitaiwa uzingatiwe zaidi.
 
Pep ndio dawa ganii
 
Kabla hujafanya maamuzi ya kupima huwa kuna mlolongo wa shauri nasaha na huwa zinaendelea hata baada...

Hata hivyo unapoamua kwenda kupima HIV ni vyema kuandaa akili yako kama vile tu unavyoenda kupima ugonjwa mwingine wowote ule, kwamba kuna matokeo ya aina mbili pekee...
Mkuu heshima yako.

Sasa kama huyo mtu tumeambiwa toka alipopima tu na kujua kuwa anao; Amepoteza matumaini kabisa.

Ni amani gani nitaipata iwapo nikiambiwa niko HIV Positive?

Mapendo,
TANMO.
 
Targert ya WHO ni kuwa ifikapo 2020 kila mwathirika awe kwenye tiba mpaka sasa hivi Sweden imaongoza kufika lengo hilo
Mbona wanasema hizo dawa zinaua figo ndio maana wanakufa jamani,,mbona kama wanawaua tena
 
Mbona wanasema hizo dawa zinaua figo ndio maana wanakufa jamani,,mbona kama wanawaua tena
Ndiyo maana unatakiwa kwenda kwenye kitengo kufanyiwa check up na health screen kwa ujumla, kama figo zikiwa na matatizo dr. anakubadilishia dawa.
 
Hivi hizi arvs zimetengenezwaje maana zinanenepesha pía mitaani naona watu wanakunywa pombe kama kawaida hv hawapati adhari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo mlipewa hivyo vidonge kwa sababu mlikuwa mmepata maambukizi au??
 
Hivi hizi arvs zimetengenezwaje maana zinanenepesha pía mitaani naona watu wanakunywa pombe kama kawaida hv hawapati adhari?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unene ni kupenda, ukila vizuri na kufanya mazoezi hunenepi, ni kweli ARV's zinakwenda na pombe pia hata methadone kwa mateja, isingekuwa hivyo wengi wangeshindwa. Hata hivyo usiwe mlevi mpaka kusahau kunywa dawa zako pia si unajua madhara ya pombe kwenye ini na ARV's na figo sasa hapo akili mukichwa.
 
Ahahahhahaaha eti kama taarifa ya mapato na matumizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…